Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

Wanawake wengi wanapenda kusifia sauti yangu kuwa ni nzuri.

Sijui kwa nini kila nikiongea na mwanamke yeyote kwenye simu lazima anisifie eti nina sauti nzuri.
Kituko kimetokea jana kuna manzi nilikua namtongoza kwenye simu,wakt tunaingea eti akaniambia nina sauti nzuri mpaka pichu yake imelowa.
Wakuu hivi sauti nayo inaweza ikakufanya ukapendwa na wanawake hata kama ni mbahili?
Inasikitisha sana ,mitano tena kwa mama.
 
Tafadhali kamata mic hii,naomba uuthibitishie umma wa Jamiiforums maneno yako.
FB_IMG_1738768302648.jpg
 
Back
Top Bottom