Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 389
- 911
Ni kweli kabisa mkuu, yaani wasichana unakuta pisi kali ila bovu kabisa halina maajabu yeyote kitandani, ila mademu wakawaida aloo nimekula wana miujiza yao sitaki kuianika hapa jf
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara.
Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana mazuri yake mengi kuliko mabaya.
Kwa uzoefu wangu hawa wadada warembo nimepita nao wengi wa kutosha, unaingia gharama kubwa, uvunguni hawana miujiza.
Ila watoto wa Uswahilini ni wajuzi sana ila wachawi sana, hukawii kuikimbia familia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah wanatuita wachawi[emoji15]
Tulilipa Kwa Dola unaweza kutembea TRIPADVISOR.COMBei yake ipoje ?
Umeongea Kwa uchungu sanaa😊😊Acha kujidharau yaani weusi wako unasemwa vibaya na wewe una support. Yaani kwenda shule na kujua kusoma kingereza unajikuta unajua hadi kufikia hatua ya kudharirishwa na kujidharirisha na kujiona una akili. Baba yako na mama yako wamekupambania kukupeleka shule ujue hicho kiingereza ili uje uwaite good for nothing.
Jikubali wewe na jamii yako hizo slavish mind achia wapumbavu
Parefu kinoma ...kuna mnyaru nimepanga amalize 500k kwa siku mbili acha nikajifiche hata zenjiTulilipa Kwa Dola unaweza kutembea TRIPADVISOR.COM
Kama
470usd per day
Kuna siku Kuna offer jarib ku follow up I guess unaweza pata hata Kwa 200k nipazur sanaaa mkuuParefu kinoma ...kuna mnyaru nimepanga amalize 500k kwa siku mbili acha nikajifiche hata zenji
Ntashukuru sana, nin kinafanya uone panafaa sana, pengine ntashawishika mkuu !!Kuna siku Kuna offer jarib ku follow up I guess unaweza pata hata Kwa 200k nipazur sanaaa mkuu
Ngoja baadae ntawasiliana nap ntakupa mrejesho
Sasa kama ana mazuri mengi kuliko mabaya, iweje umepoteza hamu naye?Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara.
Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana mazuri yake mengi kuliko mabaya.
Kwa uzoefu wangu hawa wadada warembo nimepita nao wengi wa kutosha, unaingia gharama kubwa, uvunguni hawana miujiza.
Ila watoto wa Uswahilini ni wajuzi sana ila wachawi sana, hukawii kuikimbia familia.
Mshana njoo huku,wamekutaja.Hii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara.
Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana mazuri yake mengi kuliko mabaya.
Kwa uzoefu wangu hawa wadada warembo nimepita nao wengi wa kutosha, unaingia gharama kubwa, uvunguni hawana miujiza.
Ila watoto wa Uswahilini ni wajuzi sana ila wachawi sana, hukawii kuikimbia familia.
Chief umemaliza..yaani wewe ukitaka kupata an Sanaa ya mapenzi na mpka robo yako iridhike,wewe dili na watoto wa kiswazi..hutojutia..ni wengi tumeligundua hiloHii saa tano kasoro, natoka Ledgers Plaza Bahari Beach, kufanya zinaa na mwanamke asiye mke wangu, ila tu ni hawara.
Kiburi na dharau na jeuri ya mke wangu inanifanya nipoteze hamu naye kabisaaa. Mwanamke ana gubu, ana matusi, ana masimango na kila kitu cha pepo mchafu, licha ya kwamba ana mazuri yake mengi kuliko mabaya.
Kwa uzoefu wangu hawa wadada warembo nimepita nao wengi wa kutosha, unaingia gharama kubwa, uvunguni hawana miujiza.
Ila watoto wa Uswahilini ni wajuzi sana ila wachawi sana, hukawii kuikimbia familia.
Ukweli mchungu huwa una kawaida ya kuchoma sana rohoni.Acha kujidharau yaani weusi wako unasemwa vibaya na wewe una support. Yaani kwenda shule na kujua kusoma kingereza unajikuta unajua hadi kufikia hatua ya kudharirishwa na kujidharirisha na kujiona una akili. Baba yako na mama yako wamekupambania kukupeleka shule ujue hicho kiingereza ili uje uwaite good for nothing.
Jikubali wewe na jamii yako hizo slavish mind achia wapumbavu
Ukiokoka kinafuata nini?Njoo kwa Yesu uokoke
Hii mada haihusiani na chadema wala mbowe mkuu, unatfuta nini hapa??😆😆😆😆
Sahihi mkuuMademu wengi ambao ni watamu kwa macho hawana maajabu! Kuku wa kienyeji wana vitu adimu Sana umkute portable[emoji848] pia maintenance yao ni ndogo