Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #21
Nakula misosi ya kawaida sio ile ya uzaziUkiiendekeza misosi ile ya uzazi hao naona wanajibana Ila Mimi Siwezi kujifungua nusu ya kufa alafu nijibane kulaa huwaa nakulaaa Hahahaaa
Chura kawa mambaMkijifungua sisi tunaangaliaga chura tu ,kaongezeka?
Hata mie ni hivo mwili unarudi najua baadae nitakua kawaida na sinaga asili ya tumbo japo sio nyoka ila sina tumbo, huu unene wa sahivi ndo unanichosha, nataka kujua wengine inakuaje kina beyonce na mapacha ila wapo hot japo wao siwaamini sana make ni watu wa surgery.Yaap ni kweli Nina mdogo wangu alipata mimba form three Duh yaani km hajazaa Hakuna mazoez Wala diet tumbo flat Sasa karud shule.
Hahaha safi sana.tupia kapicha kidogo basi kunogesha uziChura kawa mamba
Kila kitu kinaongezeka hata size ya kiatu. [emoji17]Mkijifungua sisi tunaangaliaga chura tu ,kaongezeka?
Iaaaah safi sana ngoja na Mimi nitafute wa kumzalisha nijifunze mengi ,au kama una ndugu yako wakuolewa njoo pm tuyajenge Mkuu hahahKila kitu kinaongezeka hata size ya kiatu. [emoji17]
Naomba niwe trainer wako.Nilijaribu, nikadownload na app nikacheki kechi siku tatu tu chaliii
Utasubiri sana huko Pm...mpaka afikishe umriIaaaah safi sana ngoja na Mimi nitafute wa kumzalisha nijifunze mengi ,au kama una ndugu yako wakuolewa njoo pm tuyajenge Mkuu hahah
Wanafanya mazoezi sana, na hivi wana hela wanapata best trainersHata mie ni hivo mwili unarudi najua baadae nitakua kawaida na sinaga asili ya tumbo japo sio nyoka ila sina tumbo, huu unene wa sahivi ndo unanichosha, nataka kujua wengine inakuaje kina beyonce na mapacha ila wapo hot japo wao siwaamini sana make ni watu wa surgery.
Mashallahmm najiuliza pia.
maana mm nna ziwa jamani na sijazaa hata mtoto mmoja... ila kifua changu huwezi kifananisha na cha Hamisa,fayvanny ..hata zari bado ana kifua kidogo kwangu jamani...
hata nikishika watoto wa watu wanaonekana wangu... nakosa hadi wachumba [emoji24][emoji24]maana wanadhani labda single maza ,au mke wa mtu
mm hata sijui nifanyaje
Nitazeeka sasa,damu bado ya moto saiviUtasubiri sana huko Pm...mpaka afikishe umri
Mie binafsi nimekula sana hiyo misosi ya uzazi.Ukiiendekeza misosi ile ya uzazi hao naona wanajibana Ila Mimi Siwezi kujifungua nusu ya kufa alafu nijibane kulaa huwaa nakulaaa Hahahaaa
Na nyama
Utanisaidia sana, karibuNaomba niwe trainer wako.
Usikimbie peke yako,tafuta kampani,alafu unavyoanza usikimbie umbali mrefu yani kama leo umekimbia km 1 una ongeza kidogo kidogo mpaka utakapokua fresh,utayapenda mazoezi automatically, ata siku usipofanya utajihisi vibaya yani unakua kama umenyimwa chakulaila mazoezi yanataka moyo,,mimi nimeanza kukimbia asubuhi bado kidogo nirudie njiani,,,yataka moyo sana
mh mtu unaeza kupenda kufanya mazoezi kweli labda kama ni hobi yako aisee,,hapa nahitaji nguvu za ziada kuendelea manake vigimbi havifai,,ila sabbu ni plan ya mwka huu sina budiUsikimbie peke yako,tafuta kampani,alafu unavyoanza usikimbie umbali mrefu yani kama leo umekimbia km 1 una ongeza kidogo kidogo mpaka utakapokua fresh,utayapenda mazoezi automatically, ata siku usipofanya utajihisi vibaya yani unakua kama umenyimwa chakula
Im watching u..dont stop,dont quit...ila mazoezi yanataka moyo,,mimi nimeanza kukimbia asubuhi bado kidogo nirudie njiani,,,yataka moyo sana