Wanawake wengine wanawezaje kumaintain miili yao baada ya kujifungua?

Wanawake wengine wanawezaje kumaintain miili yao baada ya kujifungua?

Yaap ni kweli Nina mdogo wangu alipata mimba form three Duh yaani km hajazaa Hakuna mazoez Wala diet tumbo flat Sasa karud shule.
Hata mie ni hivo mwili unarudi najua baadae nitakua kawaida na sinaga asili ya tumbo japo sio nyoka ila sina tumbo, huu unene wa sahivi ndo unanichosha, nataka kujua wengine inakuaje kina beyonce na mapacha ila wapo hot japo wao siwaamini sana make ni watu wa surgery.
 
mm najiuliza pia.
maana mm nna ziwa jamani na sijazaa hata mtoto mmoja... ila kifua changu huwezi kifananisha na cha Hamisa,fayvanny ..hata zari bado ana kifua kidogo kwangu jamani...
hata nikishika watoto wa watu wanaonekana wangu... nakosa hadi wachumba [emoji24][emoji24]maana wanadhani labda single maza ,au mke wa mtu
mm hata sijui nifanyaje
 
Hongera Evelyn Salt.
Umesema kwa sasa Mazoezi huwezi, njaa inakuchanganya.

Itabidi uvumilie tu hadi miezi 6, uanze kupunguza misosi, na uanze Mazoezi, nikimaanisha hutohitaji kutengeneza maziwa mengi.

Tunatofautiana genes, wengine ni rahisi ku shift the baby weight wengine ndio mpaka tujiandikishe gym.

Good luck New Mum.
 
Iaaaah safi sana ngoja na Mimi nitafute wa kumzalisha nijifunze mengi ,au kama una ndugu yako wakuolewa njoo pm tuyajenge Mkuu hahah
Utasubiri sana huko Pm...mpaka afikishe umri
 
Hata mie ni hivo mwili unarudi najua baadae nitakua kawaida na sinaga asili ya tumbo japo sio nyoka ila sina tumbo, huu unene wa sahivi ndo unanichosha, nataka kujua wengine inakuaje kina beyonce na mapacha ila wapo hot japo wao siwaamini sana make ni watu wa surgery.
Wanafanya mazoezi sana, na hivi wana hela wanapata best trainers
 
mm najiuliza pia.
maana mm nna ziwa jamani na sijazaa hata mtoto mmoja... ila kifua changu huwezi kifananisha na cha Hamisa,fayvanny ..hata zari bado ana kifua kidogo kwangu jamani...
hata nikishika watoto wa watu wanaonekana wangu... nakosa hadi wachumba [emoji24][emoji24]maana wanadhani labda single maza ,au mke wa mtu
mm hata sijui nifanyaje
Mashallah
 
Ukiiendekeza misosi ile ya uzazi hao naona wanajibana Ila Mimi Siwezi kujifungua nusu ya kufa alafu nijibane kulaa huwaa nakulaaa Hahahaaa
Mie binafsi nimekula sana hiyo misosi ya uzazi.

Ila nilianza kufanya mazoezi nikiwa
Mjamzito
Watoto wangu wawili ila nachomekea top na jeans kama teenager.

Wengi wao hawanyonyeshi so probably hawali vyakula vya uzazi,,, me naona wewee piga msosi tuu na jitahidi unyonyeshe 6 month mwili usikupe shida utapungua wenyewe bila shida maana itafika Mahala mtoto ananyonya haswa then kula kawaida tuu mwili utaisha tuu
 
ila mazoezi yanataka moyo,,mimi nimeanza kukimbia asubuhi bado kidogo nirudie njiani,,,yataka moyo sana
Usikimbie peke yako,tafuta kampani,alafu unavyoanza usikimbie umbali mrefu yani kama leo umekimbia km 1 una ongeza kidogo kidogo mpaka utakapokua fresh,utayapenda mazoezi automatically, ata siku usipofanya utajihisi vibaya yani unakua kama umenyimwa chakula
 
mh mtu unaeza kupenda kufanya mazoezi kweli labda kama ni hobi yako aisee,,hapa nahitaji nguvu za ziada kuendelea manake vigimbi havifai,,ila sabbu ni plan ya mwka huu sina budi
 
Back
Top Bottom