Wanawake wenye akili ndogo

Wanawake wenye akili ndogo

Kwani hutambui kwamba watu hutofautina kwa kila kitu kuanzia jina rangi tabia urefu, na mengineyo, hamna cha kushangaza hapo.

Akili ndogo haipimwi kwa salam.

Kuna watu wana akili mingi ila wana dharau vilevile.

Labda kwa tafsiri yako ulimwona wa hadhi ya chini ukategemea atakushobokea.

Mwenye shida niwewe kuweka expectation nyingi kwa watu usio wajua.
[emoji1635]
 
Habari wanajamvi,

Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini ila sio wote) wanakua na kidharau fulani ivi cha kijinga kwa mfano unaeza mfuata ukamsalimia demu normal tu namuongee ila atakavyo kujibu au dharau atakazokuonyesha kama wewe ni takataka fulani..... Like what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala mtu mwenyewe ukimuangalia kavaa kijora kimepauka kichwani hana lolote saa nyingine ni form four zero.

Ila kwa upande mwengine kuna baadhi ya wanawake wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ambao nimekutana nao they are very polite and generous compared tu hawa akina mwajuma ndalandefu ambao kichwani amna kitu zaidi ya vigodoro na kunuka shombo
Mimi nafurahia sana mwanamke mwenye nyodo.
Ukikataliwa toa sadaka ya shukrani umeepushwa mikosi na magonjwa..
Kubwa zaidi ameniepusha na stress za mapenzi na gharama ya muda.

mapenzi yanapoteza muda sana.
yanaturudisha nyuma kiuchumi.

Bahati mbaya hatutaacha kupenda.
 
Back
Top Bottom