Wanawake wenye akili ndogo

Survival for the fittest.
Ukiyatazama maisha ya uswahilini utagundua ni maisha ya kustruggle kwa kila kitu.Upate hewa nzuri, kula, kwenda toilet.
Hii inamshape mtu kwa namna tofauti sana, kustruggle kuheshimika na kuwa recognized.
So it's a mental issue iliyojengengeka for so long mpaka inakuwa mazoea na lifestyle.
Hapo alipokujibu kwa dharau ni namna ya kutafuta kiheshimika kwa lazima. Nyuma ya ubongo wake kuna kitu anapambana nacho ambacho sasa kinaonekana kwenye namna anavyofanya kwa watu.
Siku nyingine muhurumie tu mtu wa aina hii.
 
Chukua soda kiongozi nakuja kulipa ni bors tupige nyeto tu
 
Una akili nyingi sana kiongozi umenipa jibu la first class
 
Umemaliza kila kitu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…