Wanawake wenye akili ndogo

Hapana bana mara nyingi madada wa kiswahili wasicho penda ni dharau hapa utakua wewe ulimfata kidharaudharau ndio maana akakuwahi [emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani hao ukienda na pigo za kisomi au kishua hakuna rangi utaacha ona yaani wanajikubali na hali zao za chini na elimu yao duni ila wewe ukapeleka usomi wako [emoji23][emoji23]

Ukitaka kuwa approach hao cha kwanza jifananishe nao hakuna staili utaacha pewa utapewa hadi staili ya chief goodlove kakutwa na vimbao
 
Na hicho ndio kilicho mkost
 
Iyo nayo kweli kiongozi nimekuelewa umeelza vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…