Wanawake wenye akili ndogo

Una imfiri

Kwa hoja Yako unaonyesha wewe binafsi hujiamini!! Issue ya Form four and the likes ni mapito TU ya hapa duniani
 
Hachana na wanawake, waache kama walivyo nilitaka kuwatukana wanawake lakini naogopa kupigwa Ban. Wengi hata uwasaidie ni kazi bure, mwanamke anafikiri duniani amekuja kusaidiwa na ndio maana siku izi wanawake wanazalishwa na wanapigwa chini wakajifunze kwao. Akisha kabidhiwa majukumu ndio anakuwa na heshima baada ya kupewa majukumu ya kulea na kutafuta pesa pia
 
Matarajio makubwa kwa usichokijua huua matumaini mkuu ulienda kwa mdada wa watu ukidhani labda zile story unazosikiaga kuwahusu basi nawe ukaenda shingo juu juu akakushashua pole mkuu ๐Ÿ˜€
 
Wakati anamfata alimuona mrembo, kapigwa kibuti ndio kageuka mwajuma ndala ndefu
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nimecheka Umenikumbusha wakat niposhule kunamkaa aliniaproach kama mwaka hiv nikawa namchomolea sikumoja tumkutna njiani nipo narafikiyangu akanisimamisha Tena kubembeleza nikamcholea natak kuondoka nasikia muone bichwa kama pasi vile๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚na ungekuwa na kichwa kizuri wew ungezidi kuringa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚(sinaga kidosokipo flat nyuma)
Aisee na rafikyngu tulicheka balaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Sasa bichwa langu lilimkosea nn ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wakati anakuapproach hakuona hilo๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Yaani wanakuaga na hasira mbaya hawa watu wakipigwa chini, ni kama hawaamini kama tuna haki ya kuwakataa๐Ÿ˜…
 
Kichwa kama pasi ๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ