Wanawake wenye akili ndogo

Wanawake wenye akili ndogo

Una imfiri
Habari wanajamvi,

Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini ila sio wote) wanakua na kidharau fulani ivi cha kijinga kwa mfano unaeza mfuata ukamsalimia demu normal tu namuongee ila atakavyo kujibu au dharau atakazokuonyesha kama wewe ni takataka fulani..... Like what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala mtu mwenyewe ukimuangalia kavaa kijora kimepauka kichwani hana lolote saa nyingine ni form four zero.

Ila kwa upande mwengine kuna baadhi ya wanawake wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ambao nimekutana nao they are very polite and generous compared tu hawa akina mwajuma ndalandefu ambao kichwani amna kitu zaidi ya vigodoro na kunuka shombo

Kwa hoja Yako unaonyesha wewe binafsi hujiamini!! Issue ya Form four and the likes ni mapito TU ya hapa duniani
 
Habari wanajamvi,

Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini ila sio wote) wanakua na kidharau fulani ivi cha kijinga kwa mfano unaeza mfuata ukamsalimia demu normal tu namuongee ila atakavyo kujibu au dharau atakazokuonyesha kama wewe ni takataka fulani..... Like what the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala mtu mwenyewe ukimuangalia kavaa kijora kimepauka kichwani hana lolote saa nyingine ni form four zero.

Ila kwa upande mwengine kuna baadhi ya wanawake wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ambao nimekutana nao they are very polite and generous compared tu hawa akina mwajuma ndalandefu ambao kichwani amna kitu zaidi ya vigodoro na kunuka shombo
Hachana na wanawake, waache kama walivyo nilitaka kuwatukana wanawake lakini naogopa kupigwa Ban. Wengi hata uwasaidie ni kazi bure, mwanamke anafikiri duniani amekuja kusaidiwa na ndio maana siku izi wanawake wanazalishwa na wanapigwa chini wakajifunze kwao. Akisha kabidhiwa majukumu ndio anakuwa na heshima baada ya kupewa majukumu ya kulea na kutafuta pesa pia
 
Matarajio makubwa kwa usichokijua huua matumaini mkuu ulienda kwa mdada wa watu ukidhani labda zile story unazosikiaga kuwahusu basi nawe ukaenda shingo juu juu akakushashua pole mkuu 😀
 
Wakati anamfata alimuona mrembo, kapigwa kibuti ndio kageuka mwajuma ndala ndefu
😂😂😂Nimecheka Umenikumbusha wakat niposhule kunamkaa aliniaproach kama mwaka hiv nikawa namchomolea sikumoja tumkutna njiani nipo narafikiyangu akanisimamisha Tena kubembeleza nikamcholea natak kuondoka nasikia muone bichwa kama pasi vile😂😂😂😂na ungekuwa na kichwa kizuri wew ungezidi kuringa 😂😂😂(sinaga kidosokipo flat nyuma)
Aisee na rafikyngu tulicheka balaa 😂😂Sasa bichwa langu lilimkosea nn 😂😂
 
😂😂😂Nimecheka Umenikumbusha wakat niposhule kunamkaa aliniaproach kama mwaka hiv nikawa namchomolea sikumoja tumkutna njiani nipo narafikiyangu akanisimamisha Tena kubembeleza nikamcholea natak kuondoka nasikia muone bichwa kama pasi vile😂😂😂😂na ungekuwa na kichwa kizuri wew ungezidi kuringa 😂😂😂(sinaga kidogokipo flat nyuma)
Aisee na rafikyngu tulicheka balaa 😂😂Sasa bichwa langu likimkosea nn 😂😂
Wakati anakuapproach hakuona hilo🤣🤣

Yaani wanakuaga na hasira mbaya hawa watu wakipigwa chini, ni kama hawaamini kama tuna haki ya kuwakataa😅
 
😂😂😂Nimecheka Umenikumbusha wakat niposhule kunamkaa aliniaproach kama mwaka hiv nikawa namchomolea sikumoja tumkutna njiani nipo narafikiyangu akanisimamisha Tena kubembeleza nikamcholea natak kuondoka nasikia muone bichwa kama pasi vile😂😂😂😂na ungekuwa na kichwa kizuri wew ungezidi kuringa 😂😂😂(sinaga kidosokipo flat nyuma)
Aisee na rafikyngu tulicheka balaa 😂😂Sasa bichwa langu lilimkosea nn 😂😂
Kichwa kama pasi 😂
 
Back
Top Bottom