Habari wanajamvi,
Kutokana na utafiti wangu wa hapa na pale kuhusiana na wanawake nimekuja kugundua asilimia kubwa ya wanawake ambao uwezo wao ni mdogo wa kufikiri(especially hawa wa uswahilini ila sio wote) wanakua na kidharau fulani ivi cha kijinga kwa mfano unaeza mfuata ukamsalimia demu normal tu namuongee ila atakavyo kujibu au dharau atakazokuonyesha kama wewe ni takataka fulani..... Like what the https://jamii.app/JFUserGuide mtu mwenyewe ukimuangalia kavaa kijora kimepauka kichwani hana lolote saa nyingine ni form four zero.
Ila kwa upande mwengine kuna baadhi ya wanawake wenye uwezo mkubwa wa kufikiri ambao nimekutana nao they are very polite and generous compared tu hawa akina mwajuma ndalandefu ambao kichwani amna kitu zaidi ya vigodoro na kunuka shombo