Wanawake wenye hela ni mwiba mkubwa sana kwa maisha ya wanaume

Wanawake wenye hela ni mwiba mkubwa sana kwa maisha ya wanaume

Loading failed

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2023
Posts
3,003
Reaction score
8,385
1: Utawakuta wengi wao wanapenda shughuli shughuli na katika shughuli zao lazima wawashirikishe mchicha mwiba kutia shamsham na kuwapa sapoti mapapai ili na wao wajione watu wa maana

2: Utawakuta watoto wao wa kiume ni mayai mayai na mapapai ya baadae hakuna wanachoelewa kuhusu uanaume kutokana na kulelewa kikike kike zaidi

3: Utawakuta wakivalia nusu uchi huku wakisukuma ndinga pamoja na umeme kwenye miili yao kwaajili ya kupiga shoti marioo

4: Utakuta wanamiliki wanaume wa kawaida na kuwanyanyasia tamuu

5: Wanaume wanaotoka nao wanapigishwa deki kwa lazima hata kama watajitetea kuna madhara ila deki wanapigishwa penda wasipende

6: Wanadharau sana, kiburi cha hali ya juu na wanaona kwao mwanaume siyo kitu chochote kabisa na hawashindwi kukulipia upakwe mafuta pindi utakapo mzingua.
 
Back
Top Bottom