Wanawake wenye kucha ndefu ndiyo wanaongoza kwa kuwa na uke mchafu

Wanawake wenye kucha ndefu ndiyo wanaongoza kwa kuwa na uke mchafu

Kazi ipo sana kwa madada du wadotcom. Unategemea atasafisha je wakati kucha zenyewe zakubandika?
 
Hehehhehe,.mie hufuga kwa msimu na haziwi ndefu sana Maana nna uroho wakutafuna Kucha,hivo huwa najikaza kufuga ili vidole visiende alijojo Maana c kwakutafuna huku
 
Boss wangu alienda bank akakuta kuna staff wa kiume amefuga kucha akatuliza hivi akienda msalani anafanyaje?.Kwangu Mimi mtu anayefuga kucha ni mchafu.
Hawa wanaume wafuga kucha hawa jamaniii,.cpendi Hata anikaribie mwanaume unafugaje Kucha,za kazi gani na kwann!??ndo wanaowaletea wanawake zao kansa za kizazi tuu[emoji57] [emoji57]
 
Back
Top Bottom