Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Halafu huwa ana kutengenezea juice au kachumbari na una kula kabisa! Hivi ulisha muuliza huwa ni vipi anajisafisha akiwa msalani?Adi manesi wanawakemea sana mi nilimpeleka dem wng kuchoma sindano nesi alimchamba kinyama na mikucha yke ka jini kabula