Wanawake wenye kucha za bandia kuweni makini kwenye daladala

Wamejaa vinyesi
Niliona video ya Sheikh mmoja akitoa mawaidha akisema ukiona mwanamke anakucha ndefu lazima atakuwa anatoa harufu huko chini maana kujisafisha hawezi
 
Wanasafishwa na nani?
Nimekutania bana. Kiukweli kujisafisha hawawezi. Nilishawahi kubandika kucha nilikoma maana ni kama silaha unaweza ukaumia muda wowote kuna kazi huwezi kufanya, zinahifadhi uchafu pia.
 
Nimekutania bana. Kiukweli kujisafisha hawawezi. Nilishawahi kubandika kucha nilikoma maana ni kama silaha unaweza ukaumia muda wowote kuna kazi huwezi kufanya, zinahifadhi uchafu pia.
Aisee bora uliacha,sasa sijui wao hawaoni uchafu,na pia ni rahisi kujiumiza kweli
 
Nasikiaga wenye kucha ndefu huwa wanaendesha magari yao, imekuwaje kwa huyo aliyepanda daladala!
Hahahaaa....
 
wanawake wanaweka vi2 bandia,ni rahisi sana kuwa na mwanaume bandia!!! ata kama kaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…