Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana?

Kwa mwanamume aliyefanikiwa, mke anayemuoa anachukuliwa kama taswira yake katika jamii, mfano awe mfanyabiashara au kiongozi...

Na matajiri wengi huwa wana hofu ya kutumika kwa ajili ya pesa zao, hivyo hutafuta mwenza ambaye ana akili ya kuendesha biashara, ambae ana akili ya kuongoza familia hata pale mwanaume anapokuwa hayupo..

kwao kalio sio priority...
 
Sisi makabwela hatuwezi kukosa vyote, hiyo Mimi nilikataa, nikose pesa nikose na kalio la kuchezea? Japo kufurahisha macho
 
Bado unazidi kuapprove hii hypothesis kuwa wanawake wenye makalio mkubwa wengi hawapo kwenye ndoa.


Pfunk alimuacha huyo Kajala


Diamond akamuacha huyo Wema yule mwenye matako kama Beseni.
 
Ila mimi naona wenye makebo wengi huishia kuwa na vibiashara kama vigoli tu vya kujiegesha huku biashara kubwa ikihamia kwenye makebo
Exactly! Wengi wao utawakuta saluni au kwenye mahoteli wakifanya kazi za kawaida sana. Kumbe lengo lao kubwa sio kazi bali ni kutega mingo waonekane kwa mapedeshee wawakamue njuru!
 
Kunenepa ni kulidhika au kula sana kisha hukifanyii kazi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…