Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana?

Kufanikiwa inatokea kwenye kujitoa sadaka kwenye baadhi ya vitu; iwe muda, fedha, kushinda njaa wakati mwingine n.k
Hawa viumbe waliojazia, wanakuwa ni vigumu kuvumilia vipindi vya mpito na kushawishika kutumika kama chombo cha starehe hapa na pale.​
 
Nahisi jamii inaelekea katika mtizamo hasi kila mmoja ameumbwa hakuna aliyejiumba tatizo sio maumbile ya mwanamke ila ni akili yake maana anaweza asiwe hivyo na akawa malaya
Na wapo wanawake wenye maumbile hayo wanao jiheshimu na kufanya kazi kwa bidii
 
Samaki wa mapambo ni wazuri sana lakini hawafai kwa mboga.
 
Wanawake wenye makalio makubwa wanakosa misimamo, wanatongozwa sana, wanachapika kirahisi sana, sasa watu wenye hela akili na mawazo yako kwenye project wanahitaji Mwanamke anayeweza kujisimamia huwezi ukawa unafocus kwenye mambo makubwa huku unawaza kuchapiwa lazima uvurugike, lakini lazima tukubaliane wanawake wenye makalio makubwa ni kwa ajili ya maonyesho, bongo muvi, na vichekesho kama vya Inye gwedegwede basi, kuwaweka ndani unakaribisha magonjwa yasiyoambukiza hata pengine ya kuambukizwa
 
Wenye makebo ni easy going wanaliwa sana hata humo makazini, hata singo maza wengi ni hao wenye makebo
 
Ni kweli ila sisi sasa wenye mafanikio haba au tunaostruggle kichwa Cha chini kinavurugwa kabisa
 
Wanaume wenye mafanikio wanawekwa kwenye hiyo category kwa vigezo vipi?

Usikute na mimi nimo, maana shemeji yenu ni flat screen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…