Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa?

Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na hawana makao katika familia zao hasa katika hali ambapo wazazi na ndugu wanatoa maneno ya kejeli kuhusu useja wao.

Vyombo vya habari vya kawaida pia hutoa mawazo haya, kwa mfano katika maonesho kama vile sitcom maarufu, ‘Ngono na Jiji’ ambayo inawakilisha wahusika wakuu wa kike ambao wanazingatia sana ndoa.

Je, unaweza kuwa na furaha ukiwa single katika miaka ya 35 na zaidi? Hilo tuongee hapa.
Why pick on women?
 
Watu kama nyingi mnaoringa ringa kuoelewa huwa mnaangukiaga kwa wachimbachimvi,walevi, playboys,watu wasio na malengo na maisha yao.

Ndege mjanja hunasa tundu bovu.
Aaaawapi iyo ni mipango ya mungu....ni kwamba tumekosa waume wakutu owa au?unaweza kuolewa mapema ukangukia pua vile vile.....na aliye chelewa ndo akawa the luckiest ever....
 
Mkuu wapo kabisa yaani wapo amini .
Tatizo liko kwenye kumkuta huyo ambaye hajachezewa sana Kuanzia hiyo miaka na kuendelea, Mimi siamini et kuna mwanamke kuanzia umri wa kupevuka kwakwe Mpaka huo umri wa miaka 35 na kuendelea hajawah kukutana na mwanaume serious kufanya naye maisha nadhani ni machaguo yao wengine hawataki kuolewa tu.
 
Kama wewe Ni mwanamke mwenye 30 yes and above,afu kichwani huna elimu ya maana ulikimbia shule mapema,huna kazi Wala huna shughuli yoyote inayokuingizia kipato,bado unaishi kwenu....kwa sifa hizi wewe utakuwa kituko Sana katika jamii Tena utakuchukuliwa Kama kiumbe asiejielewa hata kdgo.Wewe ndio utakuwa unadanga na waume za watu ukiyumbisha ndoa zao.

Kinyume na hivyo Mimi sioni tatizo kuhusu mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30 anayejitambua na bado hajaolewa.
 
Back
Top Bottom