Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Hizi threads zinaleta tensio ukubwa wa tatizo ni kujua zaidi tatizo.. Naona ni fair sana hususani katika Maisha watu hwafanani kuwa wanawake wameolewa miaka ya mapema sana 19 tayar ana mtoto wengine mpaka 35 bado wako 40 wakina lady jay Dee na salama jabir yote swa tu coz fainal dunia tunapita...Tabia hilo tatizo lipo kwa jamii za sasa kwa kiasi kikubwa kwa nn mtu alazimishe na kupewa uoga wakati jambo liko nje wa uwezo wake? Kama hakujaaliwa usiforce ubaya ya tensions kama izi kutoka kwa watu ndo zinapelekea watu kujinyonga.

Wapo wadada wamekosa watu kabisa kuwa nao kutokana na kila anayekutana nae ni ovyo iyo ni nafsi yake kikubwa anaishi tu...makazini lipo sana kamtu kameolewa au kameoa basi kanaanza kujifanya kanajua kila kitu kisa kina mtoto kuforce wengine wawe kama yeye ni swala baya sana...miaka 35 kwa demu ambaye hajachezewa sana bado yupo poa sana labda kama aliaanza kuchezewa kitambo
Sio kweli Wanaume wanaomtaka mwanamke wote ni WA hovyo sio kweli ni Hali ya kuchagua sana ndo inayowacost wanawake wengi
 
Wanawake weng kweny umri huo Kama Yuko sawa kiafya lazma atakuwa aliwah kuolewa Mara kadhaa na ikashndkana ,weng wao huwa tayar washazaa pia huwa wamekata tamaa na ndoa.
In short wanawake katka Rika hili huwa hawana stress maana Mambo meng washayapitia.
ili kuondoa wimbi hili wanaume tujitahid tuoe wake Zaid ya mmoja
Mwongo wewe
 
mbona sawa tuu....

shida ni pale wengine wanapokuona mkosaji, its your fault and you should feel guilty about it,

lets face it, hata km Mungu angeumba wanawake population sawa na wanaume, still sio wanawake wote wangeolewa due to other factors as well,

yes im 39 single, dont feel sorry for me, there's nothing to feel sorry about and dont bother make me feel guilty, you wont suscseed..lol
 
Mh
 
kwa mila za Kiafrka wanawake huolewa, na sio kuoa
sasa kama wanaume wa kuwao hawapo/hawajajitokeza; Sina sababu yoyote ya kuwalaumu wale ambao hawajaolewa ukichukulia pia kuwa; wanawake ni wengi kuliko wanaume.

Kuhusu kushare experience; Kimsingi watu hujifunza kuishi kutokana na hali yao hata hivyo hakuna njia moja ambayo ni sahihi kwani hutegemea mambo mengi; ikiwepo uwezo wa kifedha, support anayopata kwenye familia, mji au eneo anapoishi, marafiki nk

Mwanamke huingia menopause kwenye 45yrs hivi , hivyo 35 bado ni umri mzuri tu wa kuolewa!
Yaani hyo paragraph ya kwanza tunadanganywa sana.
 
itakua hawajaamua tu kutafuta mume, ila wakitafuta watapata ndani ya muda mfupi tu
 
Kwa sababu kisaikolojia najua unaumia.
Najua haupo sawa ila hautakubali.
Watu wa jamii hupenda kujionesha wako very stable na strong ila wakiwa chumbani peke yao machozi ya damu hulindima kwenye mashavu yao.
Yaani wewe ndio unafit perfectly nilivyodescribe hapo juu...

Mnataka tuwe watu waku feel sorry for ourselves, sad, tulie...

Mkikuta hali ni tofauti,napo hamuamini,,,

Mnakuja na story za kujifanyisha, kwamba tunajifanyisha tuko strong...

Yote ni sababu mnaamini kutokuolewa ni kitu cha kinyonge, mtu lazima afeel sad,

Bro huwezi kujua perfectly kutokuolewa kuna feel aje,....

Zote ulizonazo ni imaginations/assumptations tu...

Again, there's no guilty about it, and there's no kujifanyisha strong either...
 
Acha wateseke wangese hao wanaliwa sana wakiwa toka wadogo umri huo wengi ukipiga shoo ni unaelea tu hamna lolote, mwanamke 20+ wanakuwa mabibi tayari bondeni huko mtaa wa K-Vant ndio mkute kazaa au katoa mimba kama zote mbinue vipi ndio kwanza asubiri ujimalizie tu. Mlango wa uani ndio ovyo miharufu kama yote, mapaja mikovu kama yote sijui misukule
 
Yaani wewe ndio unafit perfectly nilivyodescribe hapo juu...

Mnataka tuwe watu waku feel sorry for ourselves, sad, tulie...

Mkikuta hali ni tofauti,napo hamuamini,,,

Mnakuja na story za kujifanyisha, kwamba tunajifanyisha tuko strong...

Yote ni sababu mnaamini kutokuolewa ni kitu cha kinyonge, mtu lazima afeel sad,

Bro huwezi kujua perfectly kutokuolewa kuna feel aje,....

Zote ulizonazo ni imaginations/assumptations tu...

Again, there's no guilty about it, and there's no kujifanyisha strong either...
Karma is a bitch and its real ma single mother wakae Kwa kutulia
 
Yaani wewe ndio unafit perfectly nilivyodescribe hapo juu...

Mnataka tuwe watu waku feel sorry for ourselves, sad, tulie...

Mkikuta hali ni tofauti,napo hamuamini,,,

Mnakuja na story za kujifanyisha, kwamba tunajifanyisha tuko strong...

Yote ni sababu mnaamini kutokuolewa ni kitu cha kinyonge, mtu lazima afeel sad,

Bro huwezi kujua perfectly kutokuolewa kuna feel aje,....

Zote ulizonazo ni imaginations/assumptations tu...

Again, there's no guilty about it, and there's no kujifanyisha strong either...
Mimi sisemi na sitaki ujihisi mnyonge kwa Kukosa kwako mume.

Ila saikolojia haidanganyi na wewe huwezi kuiepuka.

Ni mtindo wa mwili wa binadamu unavyofanya kazi hivyo unateseka, unatamani ila huna jinsi lazima ujitahidi kujionesha upo strong na stable ila deep down unaumia, hauna raha na umechoka kudandia waume za watu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Nilikwambia kwenye Ile post hautakubali na umeonyesha dhahiri ila Mimi ni nani wa kuamua enjoy maisha yako, maana muda haurudi nyuma.
 
Back
Top Bottom