Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Sizan Kama Kuna mwanamke mzma kiafya na kiakili akawa hataki kuolewa!!! Ila sema weng wao wanataftaga mwanaume mweny class furan na wa daraja la chin hatak
Wapo humu humu...ukiwatongoza utasikia mzabzab kwanza wee huna ata gari
 
Mimi sisemi na sitaki ujihisi mnyonge kwa Kukosa kwako mume.

Ila saikolojia haidanganyi na wewe huwezi kuiepuka.

Ni mtindo wa mwili wa binadamu unavyofanya kazi hivyo unateseka, unatamani ila huna jinsi lazima ujitahidi kujionesha upo strong na stable ila deep down unaumia, hauna raha na umechoka kudandia waume za watu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].

Nilikwambia kwenye Ile post hautakubali na umeonyesha dhahiri ila Mimi ni nani wa kuamua enjoy maisha yako, maana muda haurudi nyuma.

Saikolojia ipi mkuu???

Weka references to the book ama websites tuone huo mtindo au mwili wa binadamu unavyofanya kazi asipoolewa....HAHAHHAHAH
 
Saikolojia ipi mkuu???

Weka references to the book ama websites tuone huo mtindo au mwili wa binadamu unavyofanya kazi asipoolewa....HAHAHHAHAH

Pitia hiyo link kwa faida yako.

Ila it was worth arguing with you [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
mnhhh rubbish...sidhani kama hio link umeielewa wewe mwenyewe....and how inajibu jinsi mwili wa mwanamke unavyofanya kazi asipoolewa....as you put it....
 
mnhhh rubbish...sidhani kama hio link umeielewa wewe mwenyewe....and how inajibu jinsi mwili wa mwanamke unavyofanya kazi asipoolewa....as you put it....
Sikuzungumzia Physiology ya mwili wa Mwanamke unavyofanya kazi akiwa hajaolewa.

Mimi nilizungumzia Physicology ya mwanamke akiwa hajaolewa hasa akikaribia jua la jioni.

Na hiyo itakupa majibu kwa nini mnataka ndoa, Sasa wewe ni msomi ziangalie ikiwa Binti ni gendaheka inakuwaje.
 
Kama ulikua unaongelea kisaikolojia still uko nje, sijaona effects za kutokuolewa ...
 
Hili nalo wakalitazame.
Mtume muhammad alimuoa bi hadija akiwa na miaka 40.
Msiwavunje moyo wadada wa watu umri ni namba tu.
Binadamu anaishi kwa vipindi.

Vipindi vyake vimegawanyika kwa muda wa miaka 20.

20 ya kwanza utoto na kusaka elimu ama ujuzi Fulani kulingana na mazingira ya muhusika.

20 kujiimarisha ikiwemo swala la familia, kazi, uchumi na kutimiza malengo.

20 aka jua la jioni hapa mtu anapambania na kutimiza vipawa vyake, ndio muda mtu hugundua lengo lake la kuwepo ulimwenguni.

Unless labda kama anatafuta marioo,atawapata wengi tu
 
Sheria ya wapo inasema hivho
 
Najua hauwezi kukubali ila nafsini unakiri huyu muungwana anachosema.

Kwa nini hauoni athari za kutokuolewa?

Tatizo lako unalazimisha vitu ambavyo havipo...

Huwezi kujua ama kuwa certain na minds za watu...sababu hauko kwenye hizo minds...

Unadhani kwa nini kasema ukiwa mentally stable huwezi ku succumb kwenye social pressure za kuolewa kama wewe unavyotaka ku pressurize hapa kuwa kuolewa ni ultimate thing?????
 
Tatizo moja ni kwamba wangapi mpaka anafika miaka hiyo anakuwa hajagegedwa sana?
ohoo kumbe unachoogopa.katembea na wangapi anajua yeye.lakini mbona wapo wameolewa na wanagongwa kila siku.na wanaume wengine
 
ohoo kumbe unachoogopa.katembea na wangapi anajua yeye.lakini mbona wapo wameolewa na wanagongwa kila siku.na wanaume wengine
Sawa wacha wagongwe kwa sababu jamaa yenyewe ya sasa ya kingono ngono tuu
 
mbona sawa tuu....

shida ni pale wengine wanapokuona mkosaji, its your fault and you should feel guilty about it,

lets face it, hata km Mungu angeumba wanawake population sawa na wanaume, still sio wanawake wote wangeolewa due to other factors as well,

yes im 39 single, dont feel sorry for me, there's nothing to feel sorry about and dont bother make me feel guilty, you wont suscseed..lol
Dah.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe ndio unafit perfectly nilivyodescribe hapo juu...

Mnataka tuwe watu waku feel sorry for ourselves, sad, tulie...

Mkikuta hali ni tofauti,napo hamuamini,,,

Mnakuja na story za kujifanyisha, kwamba tunajifanyisha tuko strong...

Yote ni sababu mnaamini kutokuolewa ni kitu cha kinyonge, mtu lazima afeel sad,

Bro huwezi kujua perfectly kutokuolewa kuna feel aje,....

Zote ulizonazo ni imaginations/assumptations tu...

Again, there's no guilty about it, and there's no kujifanyisha strong either...
Unanikumbusha kipindi nikiwa bwana mdogo wa vidudu. Nilikuwa nikipata maralia najitahidi kujikaza ili bi mkubwa asijue kuwa ni mgonjwa ili nisiende hospital.

Basi nakuwa najikeep busy najirusha rusha najifanya nipo fiti ila mzazi ni mzazi anajua tu mtoto wangu hayupo sawa. Ananiita ananipima kwa mkono anajua sipo sawa ni mgonjwa ananipeleka hospital naandikiwa sindano naingia katika kile chumba cha sindano kuface my worst nightmare.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

So i see the same experience here. But don't worry no one is saying you committed a crime. Its just that u are in that zone where we can't say anything rough kwako. Come here give me a hug. We love you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom