Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Tatizo lako unalazimisha vitu ambavyo havipo...

Huwezi kujua ama kuwa certain na minds za watu...sababu hauko kwenye hizo minds...

Unadhani kwa nini kasema ukiwa mentally stable huwezi ku succumb kwenye social pressure za kuolewa kama wewe unavyotaka ku pressurize hapa kuwa kuolewa ni ultimate thing?????
Kuna qoute yangu nilisema Mimi ni nani mpaka niamue mustakabari wa mtu mwingine.

Ila binadamu haishi porini ila kwenye jamii, ambayo imejiwekea hivyo vitu.

Ni kweli huwezi exactly kupin point mawazo ya mtu, ila speculation ni muhimu.

Kwani wewe upo single?

Una chanzo Cha uhakika wa kipato?

Elimu yako

Exposure

Jina lako, taja Ile herufi ya kwanza

Upo sehemu gani Tanzania, ningependa nikifahamu kitongoji au mtaa
 
mbona sawa tuu....

shida ni pale wengine wanapokuona mkosaji, its your fault and you should feel guilty about it,

lets face it, hata km Mungu angeumba wanawake population sawa na wanaume, still sio wanawake wote wangeolewa due to other factors as well,

yes im 39 single, dont feel sorry for me, there's nothing to feel sorry about and dont bother make me feel guilty, you wont suscseed..lol
Aisee i love the way u just ooze confidence. Ebu niambie sii huna mpango wa kuwa na watoto pia? Kama ndio basi naomba tuleane na kuzikana🤣🤣🤣🤣
 
Yaani wewe ndio unafit perfectly nilivyodescribe hapo juu...

Mnataka tuwe watu waku feel sorry for ourselves, sad, tulie...

Mkikuta hali ni tofauti,napo hamuamini,,,

Mnakuja na story za kujifanyisha, kwamba tunajifanyisha tuko strong...

Yote ni sababu mnaamini kutokuolewa ni kitu cha kinyonge, mtu lazima afeel sad,

Bro huwezi kujua perfectly kutokuolewa kuna feel aje,....

Zote ulizonazo ni imaginations/assumptations tu...

Again, there's no guilty about it, and there's no kujifanyisha strong either...
Kama ni kweli unachokisema hapo, basi utakuwa hujafika hiyo 35yrs dada.
 
Unanikumbusha kipindi nikiwa bwana mdogo wa vidudu. Nilikuwa nikipata maralia najitahidi kujikaza ili bi mkubwa asijue kuwa ni mgonjwa ili nisiende hospital.

Basi nakuwa najikeep busy najirusha rusha najifanya nipo fiti ila mzazi ni mzazi anajua tu mtoto wangu hayupo sawa. Ananiita ananipima kwa mkono anajua sipo sawa ni mgonjwa ananipeleka hospital naandikiwa sindano naingia katika kile chumba cha sindano kuface my worst nightmare.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

So i see the same experience here. But don't worry no one is saying you committed a crime. Its just that u are in that zone where we can't say anything rough kwako. Come here give me a hug. We love you.

MNhhhh........ NOT everybody see things how you see...so how you see things can be irrelevant..your subjective shit experience and how you see it is NOT what kutokuolewa means for Anita.
 
Tatizo lako unalazimisha vitu ambavyo havipo...

Huwezi kujua ama kuwa certain na minds za watu...sababu hauko kwenye hizo minds...

Unadhani kwa nini kasema ukiwa mentally stable huwezi ku succumb kwenye social pressure za kuolewa kama wewe unavyotaka ku pressurize hapa kuwa kuolewa ni ultimate thing?????
Its impossible kuwa baharini na usilowe that is a scientific fact mpendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna qoute yangu nilisema Mimi ni nani mpaka niamue mustakabari wa mtu mwingine.

Ila binadamu haishi porini ila kwenye jamii, ambayo imejiwekea hivyo vitu.

Ni kweli huwezi exactly kupin point mawazo ya mtu, ila speculation ni muhimu.

Kwani wewe upo single?

Una chanzo Cha uhakika wa kipato?

Elimu yako

Exposure

Jina lako, taja Ile herufi ya kwanza

Upo sehemu gani Tanzania, ningependa nikifahamu kitongoji au mtaa

Kama umekubali huwezi kujua mawazo ya watu, case closed, huwezi kuwa certain watu wanaathirika kisaikolojia kama hawaolewi....sababu wapo ambao hawajaathirika. bye
 
Umenena vyema
Unajifariji baada ya kuona comment ya mtu mnaeshare common experience?

Acha kujifix, ndoa ni muhimu na hakuna mwanamke hii dunia anazaliwa asiwaze ndoa maana mema ya ndoa ni mengi kuliko mabaya yanayosemwa.

Kwahiyo unataka kuniambia wanawake wote waliopo ndoani wanapitia magumu na manyanyaso hivi sasa si ndio?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its impossible kuwa baharini na usilowe that is a scientific fact mpendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado anajikaza.

Mimi Kuna mmoja alikuwa anasema hivi hivi nafocus kwenye carrier yangu, maendeleo binafsi, sitishwi na Mwanaume, Tupo sawa sibabaishwi.

Sasa hivi anajuta na kusaga meno ndio kwanza ana 36 yrs.

Kanasema bora ungenioa tu, nikamwambia ukifika 40 nitafikiria.

Ndio ninavyomuona Anita.
 
Back
Top Bottom