Mwana Dodoma
Member
- Aug 29, 2015
- 40
- 42
Wazi hiyo...Sizan Kama Kuna mwanamke mzma kiafya na kiakili akawa hataki kuolewa!!! Ila sema weng wao wanataftaga mwanaume mweny class furan na wa daraja la chin hatak
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazi hiyo...Sizan Kama Kuna mwanamke mzma kiafya na kiakili akawa hataki kuolewa!!! Ila sema weng wao wanataftaga mwanaume mweny class furan na wa daraja la chin hatak
Kuna qoute yangu nilisema Mimi ni nani mpaka niamue mustakabari wa mtu mwingine.Tatizo lako unalazimisha vitu ambavyo havipo...
Huwezi kujua ama kuwa certain na minds za watu...sababu hauko kwenye hizo minds...
Unadhani kwa nini kasema ukiwa mentally stable huwezi ku succumb kwenye social pressure za kuolewa kama wewe unavyotaka ku pressurize hapa kuwa kuolewa ni ultimate thing?????
Aisee i love the way u just ooze confidence. Ebu niambie sii huna mpango wa kuwa na watoto pia? Kama ndio basi naomba tuleane na kuzikana🤣🤣🤣🤣mbona sawa tuu....
shida ni pale wengine wanapokuona mkosaji, its your fault and you should feel guilty about it,
lets face it, hata km Mungu angeumba wanawake population sawa na wanaume, still sio wanawake wote wangeolewa due to other factors as well,
yes im 39 single, dont feel sorry for me, there's nothing to feel sorry about and dont bother make me feel guilty, you wont suscseed..lol
Kama ni kweli unachokisema hapo, basi utakuwa hujafika hiyo 35yrs dada.Yaani wewe ndio unafit perfectly nilivyodescribe hapo juu...
Mnataka tuwe watu waku feel sorry for ourselves, sad, tulie...
Mkikuta hali ni tofauti,napo hamuamini,,,
Mnakuja na story za kujifanyisha, kwamba tunajifanyisha tuko strong...
Yote ni sababu mnaamini kutokuolewa ni kitu cha kinyonge, mtu lazima afeel sad,
Bro huwezi kujua perfectly kutokuolewa kuna feel aje,....
Zote ulizonazo ni imaginations/assumptations tu...
Again, there's no guilty about it, and there's no kujifanyisha strong either...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naongezea na kingine,,mzabzab wewe malaya sana hatutawezanaWapo humu humu...ukiwatongoza utasikia mzabzab kwanza wee huna ata gari
Baby njoo kwangu achana na mzab[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naongezea na kingine,,mzabzab wewe malaya sana hatutawezana
Unanikumbusha kipindi nikiwa bwana mdogo wa vidudu. Nilikuwa nikipata maralia najitahidi kujikaza ili bi mkubwa asijue kuwa ni mgonjwa ili nisiende hospital.
Basi nakuwa najikeep busy najirusha rusha najifanya nipo fiti ila mzazi ni mzazi anajua tu mtoto wangu hayupo sawa. Ananiita ananipima kwa mkono anajua sipo sawa ni mgonjwa ananipeleka hospital naandikiwa sindano naingia katika kile chumba cha sindano kuface my worst nightmare.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So i see the same experience here. But don't worry no one is saying you committed a crime. Its just that u are in that zone where we can't say anything rough kwako. Come here give me a hug. We love you.
Wee sasa sii ndio nataka kuachana na umalaya niwe na mke wangu nitulie. Ningekutongoza ila duh hilo jina lako tuu ata nguvu sina🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naongezea na kingine,,mzabzab wewe malaya sana hatutawezana
Kama ni kweli unachokisema hapo, basi utakuwa hujafika hiyo 35yrs dada.
Its impossible kuwa baharini na usilowe that is a scientific fact mpendwa.Tatizo lako unalazimisha vitu ambavyo havipo...
Huwezi kujua ama kuwa certain na minds za watu...sababu hauko kwenye hizo minds...
Unadhani kwa nini kasema ukiwa mentally stable huwezi ku succumb kwenye social pressure za kuolewa kama wewe unavyotaka ku pressurize hapa kuwa kuolewa ni ultimate thing?????
AiseeMNhhhh........ NOT everybody see things how you see...so how you see things can be irrelevant..your subjective shit experience and how you see it is NOT what kutokuolewa means for Anita.
Ok! But utampata wa kukuoa, Mwenyezi Mungu ndiye mpangaji.I'm 39!
Kuna qoute yangu nilisema Mimi ni nani mpaka niamue mustakabari wa mtu mwingine.
Ila binadamu haishi porini ila kwenye jamii, ambayo imejiwekea hivyo vitu.
Ni kweli huwezi exactly kupin point mawazo ya mtu, ila speculation ni muhimu.
Kwani wewe upo single?
Una chanzo Cha uhakika wa kipato?
Elimu yako
Exposure
Jina lako, taja Ile herufi ya kwanza
Upo sehemu gani Tanzania, ningependa nikifahamu kitongoji au mtaa
Aisee
Unajifariji baada ya kuona comment ya mtu mnaeshare common experience?Umenena vyema
Am speechless maana dah kuna point inakuwa ngumu kumwambia mtu lolote na anakuwa kwenye stage ambayo every weapon imemlenga yeye.Sema....
Naona anajaribu kutuambia kuwa kuna watu huwa wanashinda tatu mzuka. Mbona kila mtu anajua kuwa hiyo sio pesa ya uhakika sababu ni bahati nasibu.Hiyo ni possible but not probable... We hapo ni unajifariji tu.
Its impossible kuwa baharini na usilowe that is a scientific fact mpendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado anajikaza.Its impossible kuwa baharini na usilowe that is a scientific fact mpendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naisubir hiyo unitag kabisa🤣🤣🤣🤸🤸🤸 Nataka nije na mada inayowauliza wanaume pia