Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Hakuna mtu wa hivyo. Labda kwenye movie. Trust me ndio is the number one purpose why wanawake wapo Duniani. Kama unabisha peleleza.

Maisha nje ya ndoa kwa mwanamke ni hell fire.

Sent using Jamii Forums mobile app

Eti labda kwenye movie, hujui movie zinawekwa kuakisi maisha yetu?, maisha nje ya ndoa ni hell fire??ukiambiwa mlete facts kwa nini mnasema hivi mnabaki kuzunguka mibuyu!
 
Lugha yako chafu uliyotoa humu kwenye hii topic, inanifanya nisi argue na wewe, please usini quote, no time to argue with fools.
K-Vant 35+ hamna kitu acha ziteseke tu unatindua unasepa design ndio zimewaringia sana Kaka zetu kitambo acha tuzinyooshe, Mi nazitapindua kinoma swaga kama zote.
 
Sidhani kma kunamwanamke hataki ndoa hasa umri kma huo ila wengi labda wameumizwa sana huko nyuma wakaamua kuachana na mapenz ila kiuhalisia sidhan kama inawezekana
 
Sadly there are matured women pass this age who gets married daily,..first,second,third marriage....i have been lucky to witness this..pole we!
Mmmmmmhmn ni kweli pia at this certain age kuna watu wanajaribu kurudi shule wasome just kufulfil ile desire ya kuwa msomi ila sasa its pointless maana umri umeshaenda.

Kuna vitu umri ukishaenda ukivifanya vinakuwa havina maana tena na hata jamii inaona ni kituko.

Umri wa ndoa kwa mwanamke ni chini ya 30. Kuanzia 31 kwenda juu then know haupo serious na mipangilio yako ya maisha.

Sasa wewe unasema above 39 umeona wanaolewa kwenda kugundua nini tena katika ndoa?

Umri huo hauna experience ya kukaa na mume tena. Umeshaonjwa hadi basi, mwili umeshaanza kupoteza mvuto, hata ukitafuta mtoto unamleta ukiwa hauna experience ya kuwa mzazi maana haujawahi kuwa na mtoto kuna vingi utakuwa haujui plus stress za maisha sijui utacoupe vipi na malezi ya watoto.

Its a known and open truth that mwanamke ukifika 35 kwenda juu hauna mahusiano serious na haukuwahi kuwa katika mahusiano serious then jua tu umeshachana mkeka. Yaani umedisco mahusiano. Unachojaribu kufanya ni kuigizia kuwa katika mahusiano but hayatakuwa serious maana utakutana na takataka au mabaki ya wanaume katika umri huo wenye matatizo ya kila aina katika past relationships zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhani kma kunamwanamke hataki ndoa hasa umri kma huo ila wengi labda wameumizwa sana huko nyuma wakaamua kuachana na mapenz ila kiuhalisia sidhan kama inawezekana
Anita makirita soma hiyo Toka kwa jinsia yako.

Anaona mbali huyu bi dada[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mmmmmmhmn ni kweli pia at this certain age kuna watu wanajaribu kurudi shule wasome just kufulfil ile desire ya kuwa msomi ila sasa its pointless maana umri umeshaenda.

Kuna vitu umri ukishaenda ukivifanya vinakuwa havina maana tena na hata jamii inaona ni kituko.

Umri wa ndoa kwa mwanamke ni chini ya 30. Kuanzia 31 kwenda juu then know haupo serious na mipangilio yako ya maisha.

Sasa wewe unasema above 39 umeona wanaolewa kwenda kugundua nini tena katika ndoa?

Umri huo hauna experience ya kukaa na mume tena. Umeshaonjwa hadi basi, mwili umeshaanza kupoteza mvuto, hata ukitafuta mtoto unamleta ukiwa hauna experience ya kuwa mzazi maana haujawahi kuwa na mtoto kuna vingi utakuwa haujui plus stress za maisha sijui utacoupe vipi na malezi ya watoto.

Its a known and open truth that mwanamke ukifika 35 kwenda juu hauna mahusiano serious na haukuwahi kuwa katika mahusiano serious then jua tu umeshachana mkeka. Yaani umedisco mahusiano. Unachojaribu kufanya ni kuigizia kuwa katika mahusiano but hayatakuwa serious maana utakutana na takataka au mabaki ya wanaume katika umri huo wenye matatizo ya kila aina katika past relationships zao.

Sent using Jamii Forums mobile app

, ...shida hapa ni nini???? kuolewa above 35?? kusoma??? kugundua nini ndani ya ndoa? ama ni nini??? naona unazunguuuungukaaaaaaaaaaa........???....yaani mtu kama huyu amesoma na kuwa exposed labda na nchi za watu, cultures tofauti na bado ana mawazo ya kijima...poteza muda wako..kuandika nonsense kwenye forum ya bwana Melo..ila utazunguka sana hakuna utakacho achieve humu...mission yako ya kufanya watu wasioolewa wafeel ni wakosaji IMEFELI
 
Kuolewa siyo life achievement.
Hence life = marriage. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mnajifariji balaa yet mkiona wanawake wenzenu wanacheza kwaito kwenye ndoa zao mioyo inakaangika kwa maumivu. Msifanye kuwa hatuwaoni nyuso zenu pale mnakwenda katika kumbi za harusi halafu mnaona wenzenu waliokwisha olewa wakiingia na wanaume wao wa NDOA na watoto wao kwa uhuru Kabisa na kujiachia wakiitwa mr. & Mrs fulani wakiketi kwa mahaba na uhalali wa kiimani na kisheria kama mume na mke.

Huku wakitazama mwenzao mwingine akiingia ukumbini na mume wake katika tafrija ya ndoa yao changa. Huwa tunawatazama sura zenu namna mnakuwa mnaforce kutabasamu huku sura zimekaza kwa huzuni na maumivu ya ndani kwa ndani mkijinenea kuwa MUNGU baba na mimi lini.

Ila mnasahau mlikataa mlioletewa nae sababu hawakuwa vile mnataka wawe mabishoo kama akina mlela. Tangu lini type za akina mlela zikawa waowaji na husband material?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti labda kwenye movie, hujui movie zinawekwa kuakisi maisha yetu?, maisha nje ya ndoa ni hell fire??ukiambiwa mlete facts kwa nini mnasema hivi mnabaki kuzunguka mibuyu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama movie zina akisi maisha yetu naomba unionyeshe spiderman, iron man, Batman, Hulk, na superman wanaishi mkoa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hence life = marriage. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mnajifariji balaa yet mkiona wanawake wenzenu wanacheza kwaito kwenye ndoa zao mioyo inakaangika kwa maumivu. Msifanye kuwa hatuwaoni nyuso zenu pale mnakwenda katika kumbi za harusi halafu mnaona wenzenu waliokwisha olewa wakiingia na wanaume wao wa NDOA na watoto wao kwa uhuru Kabisa na kujiachia wakiitwa mr. & Mrs fulani wakiketi kwa mahaba na uhalali wa kiimani na kisheria kama mume na mke.

Huku wakitazama mwenzao mwingine akiingia ukumbini na mume wake katika tafrija ya ndoa yao changa. Huwa tunawatazama sura zenu namna mnakuwa mnaforce kutabasamu huku sura zimekaza kwa huzuni na maumivu ya ndani kwa ndani mkijinenea kuwa MUNGU baba na mimi lini.

Ila mnasahau mlikataa mlioletewa nae sababu hawakuwa vile mnataka wawe mabishoo kama akina mlela. Tangu lini type za akina mlela zikawa waowaji na husband material?

Sent using Jamii Forums mobile app
🚶🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom