G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Si lazima kama ushaolewa na uko kwenye ndoatayariKuolewa si lazima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si lazima kama ushaolewa na uko kwenye ndoatayariKuolewa si lazima.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama movie zina akisi maisha yetu naomba unionyeshe spiderman, iron man, Batman, Hulk, na superman wanaishi mkoa gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Never count me in. Acha kuweka wanawake wote kwenye kapu moja. We differ. By the way nimeolewa ndoa tena kanisani na sherehe kama yote .Na watoto ninao wengi tu na bado nazaa. Ila siwezi kuwaona wanawake ambao hawajaolewa at their 30's eti wanakosa kitu. No. Kuolewa ni choice. Na wanawake wengi tu single wana furaha kuliko hata walio kwenye ndoa.Hence life = marriage. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnajifariji balaa yet mkiona wanawake wenzenu wanacheza kwaito kwenye ndoa zao mioyo inakaangika kwa maumivu. Msifanye kuwa hatuwaoni nyuso zenu pale mnakwenda katika kumbi za harusi halafu mnaona wenzenu waliokwisha olewa wakiingia na wanaume wao wa NDOA na watoto wao kwa uhuru Kabisa na kujiachia wakiitwa mr. & Mrs fulani wakiketi kwa mahaba na uhalali wa kiimani na kisheria kama mume na mke.
Huku wakitazama mwenzao mwingine akiingia ukumbini na mume wake katika tafrija ya ndoa yao changa. Huwa tunawatazama sura zenu namna mnakuwa mnaforce kutabasamu huku sura zimekaza kwa huzuni na maumivu ya ndani kwa ndani mkijinenea kuwa MUNGU baba na mimi lini.
Ila mnasahau mlikataa mlioletewa nae sababu hawakuwa vile mnataka wawe mabishoo kama akina mlela. Tangu lini type za akina mlela zikawa waowaji na husband material?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu achaneni na dada zetu.Huu ni upumbavu, utajiskiaje mtu akikuuliza unajiskiaje kuwa maskini? Halafu maswali yanaulizwa na watu wasiopata mademu wa maana.Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa?
Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na hawana makao katika familia zao hasa katika hali ambapo wazazi na ndugu wanatoa maneno ya kejeli kuhusu useja wao.
Vyombo vya habari vya kawaida pia hutoa mawazo haya, kwa mfano katika maonesho kama vile sitcom maarufu, ‘Ngono na Jiji’ ambayo inawakilisha wahusika wakuu wa kike ambao wanazingatia sana ndoa.
Je, unaweza kuwa na furaha ukiwa single katika miaka ya 35 na zaidi? Hilo tuongee hapa.
Wew ndo umeongezea Sasa 😂Hebu acheni na dada zetu.Huu ni upumbufu, utajiskiaje mtu akikuuliza unajiskiaje kuwa maskini?
Hakuna kitu kama hicho. Hili kundi litakuwa shamba darasa kwa wadogo zao na mabinti zao ambao wataona madhara ya kuleta ushubwada na udangaji kwenye maisha na mambo serious.Ni stage ya ushamba kama jamii tunapitia. Baada ya muda kidogo hakuna atakayekuwa akimshangaa mwanamke au mwanaume anayezeeka bila kuolewa.
Kha hebu mtuache😄Ninachoamini huu ni muda wa wapweke na walio single.
Walioolewa wanafanya mbio za sakafuni huishiwa ulingoni na wamelala.
Haya mwenye miaka kuanzia 45 au 44 toto Hilo limetangaza lipo single na available ambebe ili apate heshima ya kuitwa mke wa mtu.
Baba yake akenue meno na mamaye atunzwe.
Masikini ni mtu mwenye itilafu ya viungo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hebu achaneni na dada zetu.Huu ni upumbufu, utajiskiaje mtu akikuuliza unajiskiaje kuwa maskini?
Sasa tunafix vipi kitu ambacho hata kikiwafixed soko lake halipo tena, its a wastage of time and effort.Post yangu ya kwanza kwenye topic hii..nilisema watu kama nyie, mnaotaka tu feel guilty ama sorry for ourselves kisa hatujaolewa!?!....Tunawajua nyie...kutaka ku fix kitu ambacho hakijavunjika...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] let the little man enjoy his vengeance.Ukimaliza kakojoe kalale...
Ndo hapo sasa. Unajua hata walioumizwa kuna muda atafika ataamua kutulia na kuanzisha upya mahusiano na kuwa makini.Sidhani kma kunamwanamke hataki ndoa hasa umri kma huo ila wengi labda wameumizwa sana huko nyuma wakaamua kuachana na mapenz ila kiuhalisia sidhan kama inawezekana
Sasa tunafix vipi kitu ambacho hata kikiwafixed soko lake halipo tena, its a wastage of time and effort.
Hebu imagine kutengeneza deki ya mkanda ili iende dukani kuuzwa.
Nani anatumia mikanda miaka hii?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
True. Ulaya na US kuna ongezeko kubwa sana na magonjwa ya akili kwa wanawake. Kisababishi mojawapo ni kuongezeka kwa talaka.Maisha ya upweke hayo
Ambayo hata huko Ulaya wanakufa na Insomnia.
Au uwe single mama
Kabisa Yani kugeuka geuka pekeyako kama kambale 😂hainogi sana ila nafikiri ni makosa tu ya ujana ila muda ukishapita na ukikubalibiyo hali unaweza ona kawaida kama hapo juu wanavoeleza lkn kunastage lazima ulipitiwa kipindi Cha akili kuwaza sana kuwa na ndoa maana ndoa ndo familia yenyew SasaNdo hapo sasa. Unajua hata walioumizwa kuna muda atafika ataamua kutulia na kuanzisha upya mahusiano na kuwa makini.
No woman wants to sleep alone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekubali dah!!??Sasa kumbe soko halipo, wewe nini kujichosha at all ku fix????
Amekubali dah!!??
Katika miaka 39, demand yake inashuka sokoni na wateja wanazidi kupungua.
Umri sahihi wa kuanza kudate nao ni miaka 38 na kuendelea ambao wengi wameshaoa, hivyo Kuna dalili ya kuwa mchepuko wa mtu wa kudumu.
Au apate mtu ambaye mkewe amefariki au kutalikiana kwa Talaka.
Option ya mwisho atafute kijana chini ya 36 amfuge kifupi awe sugarmamy.
Ndio atatoboa kirahisi.
Ina feli vipi wakati haikuanza?, ...shida hapa ni nini???? kuolewa above 35?? kusoma??? kugundua nini ndani ya ndoa? ama ni nini??? naona unazunguuuungukaaaaaaaaaaa........???....yaani mtu kama huyu amesoma na kuwa exposed labda na nchi za watu, cultures tofauti na bado ana mawazo ya kijima...poteza muda wako..kuandika nonsense kwenye forum ya bwana Melo..ila utazunguka sana hakuna utakacho achieve humu...mission yako ya kufanya watu wasioolewa wafeel ni wakosaji IMEFELI
Ina feli vipi wakati haikuanza?
Sasa nazungukaje na jambo lipo bayana na wazi. Wewe unajua utamu wa ndoa wewe. [emoji23][emoji23][emoji23] Sio utamu wakuwa na bwana maana unaweza hata lala na mume wa mtu, konda wa daladala, bodaboda, muhuni yaani unaweza kulala na mtu yoyote.
Ila NDOA bwana ina heshima na raha yake.
Hebu wazia. Upo kwenye ndoa yako ya halali. Mumeo anarudi kazini watoto wanaruka ruka baba yao karudi kazini wakati wewe upo jikoni ukimuandalia msosi.
Anaingia sebuleni mnasalimiana mnaongozana kuelekea chumbani kwenu, sio geto, CHUMBA CHA BABA NA MAMA WANANDOA.
Vitoto vinajisemesha semesha kwa baba yao vikinokoleana, "Baba junior kalamba sukari mchape" [emoji23][emoji23][emoji23] ,baba yao anajibu haya mwanangu ntamchapa baadae", kengine kanasema baba halafu Brighton hajalala mchana na yeye mchape, baba anajibu " haya baba ntamchapa baadae mwanangu mzuri," haoooo mnaingia chumbani unamuuliza mume wako wa NDOA habari ya kazini anakujibu kwa mahaba "Salama, m'meshindaje?" Unaendelea nakuzungumza nae mkijadili moja mbili tatu kuhusu familia yenu halali ya NDOA.
Acha kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app