Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Ni stage tu. Tukiipita tutakuwa tukiangalia nyuma na kushangaa jinsi tulivyokuw tunaona kuolewa ni mafanikio
Nadhani sitakuwa karibu yako wakati ukisononeka ila najua kuwa hiki kifungo ni cha maisha.

Kama vile yatima anavyoteseka maisha yake yote kuwazia kama laiti wazazi wake wangelikuwapo pengine angefurahia maisha kama watoto wengine ndivyo namna utaishi majuto ya laiti ningejituliza ningemkubalia na kutulizana na James maana sasa ameoa na ana maisha mazuri na mkewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bishana sasa na ukweli halafu uone mziki wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachoitwa ukweli kinategemea na uelewa wa watu. Mfano leo watanzania wengi watakwambia nyongo ya mamba ni sumu. Kwao huo ni ukweli. Lakini wengi kusema hivyo halifanyi kuwa kweli. Ni stage ya ushamba tunapitia. Kama ile ya zamani kuamini mwenye kitambi anahela na ana afya.
 
🤣watajijua ilimradi nao wanakufa na stress
Wengi wanastress Tena wapweke mno na umri inakimbia wengine hta watoto hawana kabisa na wakusingiziwa nao hakuna 😂,
Kutwa wapo majukwaani akitoka hili anaingia hili kazi kubishana maskin hawana hta wa kuwauliza bby unafanya nn??🤣🤣
 
Wengi wanastress Tena wapweke mno na umri inakimbia wengine hta watoto hawana kabisa na wakusingiziwa nao hakuna 😂
🙊Punguza volume tafadhali....wataibuka hapa tushangae🤣
 
Back
Top Bottom