Hakuna kitu kama hicho. Hili kundi litakuwa shamba darasa kwa wadogo zao na mabinti zao ambao wataona madhara ya kuleta ushubwada na udangaji kwenye maisha na mambo serious.
Vibinti vya kuzaliwa kati ya mwaka 1999 na 2000 kuja uku juu ndivyo vinakimbiza soko kwa sasa na vinaolewa mapema sana katika umri wa kati ya 20 hadi 25. Fuatilia.
Wameona dada zao wanavyozalishwa na kutupwa sababu ya kuendekeza udangaji na tamaa za mali.
Pia wameona hasara ya kuruka na wanaume tofauti kila mwaka.
So trust me it won't be accepted. Ila hawa sasa shamba darasa sasa hivi baada ya kuwa "Age go" wanaanza kuleta kauli za kishujaa ndio tunapita nao kinoko hivi kwa kuwapa makavu live.
Wanataka tusympathize nao kwani sisi ndio ambao tuliwaambia wawe micharuko kipindi wakiwa mabinti?
Hapa tunasukuma ndani wadangaji.... Sukuma ndani vicheche wastaafu ..... Sukuma ndani wale waliosema umepata wapi namba yangu..... Sukuma ndani wale wa koma kunifuatilia maisha yangu mimi sio type yako..... Sukuma ndani wale wa sihitaji ndoa mimi..... Sukuma ndani wale wa nitaolewa nikitaka kwasasa naishi nitakavyo..... Lazima watoke jasho.
Sukuma ndani.
Sent using
Jamii Forums mobile app