Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
😂😂Ngoja nilale🙊Punguza volume tafadhali....wataibuka hapa tushangae🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Ngoja nilale🙊Punguza volume tafadhali....wataibuka hapa tushangae🤣
Acheni kutajataja majina ya watu kwenye comment zenu, unataja watu walishaolewaga na wakakaa kwenye ndoa wakaona ni upuzi, na wengine ambao hawana shida na huko kuolewa, hivi unajua wapo wadada hawana shobo na kuolewa?? Usichukue mentality za mazoea ukadhani kila mwanamke wa over 35 na yuko single basi ana shida sana ya ndoa wengine wanajionea poa tu.Hizi threads zinaleta tensio ukubwa wa tatizo ni kujua zaidi tatizo.. Naona ni fair sana hususani katika Maisha watu hwafanani kuwa wanawake wameolewa miaka ya mapema sana 19 tayar ana mtoto wengine mpaka 35 bado wako 40 wakina lady jay Dee na salama jabir yote swa tu coz fainal dunia tunapita...Tabia hilo tatizo lipo kwa jamii za sasa kwa kiasi kikubwa kwa nn mtu alazimishe na kupewa uoga wakati jambo liko nje wa uwezo wake? Kama hakujaaliwa usiforce ubaya ya tensions kama izi kutoka kwa watu ndo zinapelekea watu kujinyonga.
Wapo wadada wamekosa watu kabisa kuwa nao kutokana na kila anayekutana nae ni ovyo iyo ni nafsi yake kikubwa anaishi tu...makazini lipo sana kamtu kameolewa au kameoa basi kanaanza kujifanya kanajua kila kitu kisa kina mtoto kuforce wengine wawe kama yeye ni swala baya sana...miaka 35 kwa demu ambaye hajachezewa sana bado yupo poa sana labda kama aliaanza kuchezewa kitambo
Sasa nyongo ya mamba ni sumu au si sumu maana ndio ukweli upo hapo.Kinachoitwa ukweli kinategemea na uelewa wa watu. Mfano leo watanzania wengi watakwambia nyongo ya mamba ni sumu. Kwao huo ni ukweli. Lakini wengi kusema hivyo halifanyi kuwa kweli. Ni stage ya ushamba tunapitia. Kama ile ya zamani kuamini mwenye kitambi anahela na ana afya.
Acha kuongea uongo. Hakunaga mwanamke wa hivyo.Acheni kutajataja majina ya watu kwenye comment zenu, unataja watu walishaolewaga na wakakaa kwenye ndoa wakaona ni upuzi, na wengine ambao hawana shida na huko kuolewa, hivi unajua wapo wadada hawana shobo na kuolewa?? Usichukue mentality za mazoea ukadhani kila mwanamke wa over 35 na yuko single basi ana shida sana ya ndoa wengine wanajionea poa tu.
Sasa niongee uongo kwani naficha nini?Hahahah, kwamba dada zenu wote wameolewa, huu ni uongo na unajua ni uongo, usinichoshe mie...
Sasa kama ni lesbian mtu anatakaje kuolewa? Ndoa ya mume na mke??
Hayo matumaini uliyonayo ya kutoka kwenye umaskini ni hivyo hivyo wanawake waliopo above 35 wanayo kuingia kwenye ndoa. Narudia usiwape stress Dada zetu. Ni umri na miili yao, wewe mwanaume yanakuhusu nini? Tunasumbuliwa na story za ndoa kutoka kwa hawa mademu sababu ya wanaume kama nyie.Umasikini unaweza kuvumilika sababu ukitoboa hata umri umeenda still maisha utayafurahia. Ila ndoa umri wake ni wakati wa ujana tena ukiwa kinda.
Ukiwashafika umri wa ukuta aaaaah hapo ni basi tena.
Sent using Jamii Forums mobile app
Una maneno makali sana, alafu unaamini sana kwenye fikra zako! Unadhani kila kilichomo kwenye akili yako ndo kiko hivyo hivyo kwenye uhalisia.Mmmmmmhmn ni kweli pia at this certain age kuna watu wanajaribu kurudi shule wasome just kufulfil ile desire ya kuwa msomi ila sasa its pointless maana umri umeshaenda.
Kuna vitu umri ukishaenda ukivifanya vinakuwa havina maana tena na hata jamii inaona ni kituko.
Umri wa ndoa kwa mwanamke ni chini ya 30. Kuanzia 31 kwenda juu then know haupo serious na mipangilio yako ya maisha.
Sasa wewe unasema above 39 umeona wanaolewa kwenda kugundua nini tena katika ndoa?
Umri huo hauna experience ya kukaa na mume tena. Umeshaonjwa hadi basi, mwili umeshaanza kupoteza mvuto, hata ukitafuta mtoto unamleta ukiwa hauna experience ya kuwa mzazi maana haujawahi kuwa na mtoto kuna vingi utakuwa haujui plus stress za maisha sijui utacoupe vipi na malezi ya watoto.
Its a known and open truth that mwanamke ukifika 35 kwenda juu hauna mahusiano serious na haukuwahi kuwa katika mahusiano serious then jua tu umeshachana mkeka. Yaani umedisco mahusiano. Unachojaribu kufanya ni kuigizia kuwa katika mahusiano but hayatakuwa serious maana utakutana na takataka au mabaki ya wanaume katika umri huo wenye matatizo ya kila aina katika past relationships zao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuja PM kukutajia❤️🤜Nitakununulia viatu....unapotaja size Yako nitag
Inasikitisha sana anayesema sio lazima kuolewa yuko ndani ya ndoa 😂😂😂 ila anawatia ndimu wenzie wakaze wasiolewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah umeninyooshea kauli nzuri. Kweli kabisa sio lazima kama umeolewa ila kama bado kwann isiwe lazima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna mwanamke ambaye hataki kusema, "ntakusemea kwa babaako akuchape" 😂😂😂Ingekuwa hiyari 90 ya wanawake wangekuwa single bila watoto wala majukumu ya familia hawajui.
Ila unfortunately ni ile lazima kama ya kula.
Hapo ni kama umesema kula lazima.... Nyoo usile uone balaa lake.
Sasa usiolewe utasoma namba huko mbeleni.
Kuna vitu vya kususa au kuahirisha katika maisha ila sio kuoga, kula, kulala, NDOA na mahusiano serious.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafanikio huleta furaha na pride au confidence. Mafanikio yapo nyanja mbali mbali katika level ya mtu binafsi.Ni stage tu. Tukiipita tutakuwa tukiangalia nyuma na kushangaa jinsi tulivyokuw tunaona kuolewa ni mafanikio
Uongo huooHakuna mtu wa hivyo. Labda kwenye movie. Trust me ndio is the number one purpose why wanawake wapo Duniani. Kama unabisha peleleza.
Maisha nje ya ndoa kwa mwanamke ni hell fire.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga hao.Maisha ya upweke hayo
Ambayo hata huko Ulaya wanakufa na Insomnia.
Au uwe single mama
Ni Utumwa kama uliyeoana nae hujampenda/hajakupenda.... Kama mmependana yaani unaishi na Soulmate wako ni Maisha ya Raha yasiyoelezeka,Umuhimu wa ndoa kwangu ni kwasababu Sipendi Uzinzi na kuzaa hovyo kila mtoto na baba yake. Nje ya hapo sioni umuhimu wa ndoa.
Ningezaa na mwanaume mmoja kila mmoja na maisha yake tusaidiane kulea nikitaka mechi natafuta kiwanja chochote naenda kuchakachua. Maisha ya ndoa ni utumwa tu.