Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Siyo kila Mwanamke ana bahati ya kuolewa, inapotokea hivyo inabidi kukubaliana na hali maisha yaendelee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo inaingia ule msemo wa Waswahili usemao Sasa Mimi nifanyeje[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ila sio jambo la kujivunia kwa kiumbe kinacho jitambua.Siyo kila Mwanamke ana bahati ya kuolewa, inapotokea hivyo inabidi kukubaliana na hali maisha yaendelee.
Mwanaume mwengine hataki ufanye kazi yoyote weka pembeni hizo sherehe za stara .Taja hivyo vitu ukitoa Uzinzi na Umalaya ambao wengi ndio hudhibitiwa.
Kama una kiu ya elimu utasoma,
Biashara utafanya
Sherehe za stara utakwenda
Unataka nini zaidi?
Unawaamsha sasa mbona? Huko ndo tunajipigia kitonga siku hizi mkuukwa mila za Kiafrka wanawake huolewa, na sio kuoa
sasa kama wanaume wa kuwao hawapo/hawajajitokeza; Sina sababu yoyote ya kuwalaumu wale ambao hawajaolewa ukichukulia pia kuwa; wanawake ni wengi kuliko wanaume.
Kuhusu kushare experience; Kimsingi watu hujifunza kuishi kutokana na hali yao hata hivyo hakuna njia moja ambayo ni sahihi kwani hutegemea mambo mengi; ikiwepo uwezo wa kifedha, support anayopata kwenye familia, mji au eneo anapoishi, marafiki nk
Mwanamke huingia menopause kwenye 45yrs hivi , hivyo 35 bado ni umri mzuri tu wa kuolewa!
Kama ana uwezo wa kukutunza ndivyo inavyopaswa kuwa, Tena Kwa waislamu kwenye kitabu chao cha Qur'an hili lipo wazi kabisa.Mwanaume mwengine hataki ufanye kazi yoyote weka pembeni hizo sherehe za stara .
Lesbian ni mahusiano ya kibinadamu au ni matatizo ya kiakili kama ulivyo ushoga na fetishes zingine?!Sasa kama ni lesbian mtu anatakaje kuolewa? Ndoa ya mume na mke??
Acha unafiki hapa. Wewe ndie utakae waoa. Au unawafariji wenzako kinafiki?Hayo matumaini uliyonayo ya kutoka kwenye umaskini ni hivyo hivyo wanawake waliopo above 35 wanayo kuingia kwenye ndoa. Narudia usiwape stress Dada zetu. Ni umri na miili yao, wewe mwanaume yanakuhusu nini? Tunasumbuliwa na story za ndoa kutoka kwa hawa mademu sababu ya wanaume kama nyie.
Kama ulivyotumia mfano wa wachache kutetea wengi na mimi natumia experience ya wengi niliowaona kulinda wachache wanaostahili kutetewa dhidi ya wengi wanaojificha kundi hilo la wachache.Una maneno makali sana, alafu unaamini sana kwenye fikra zako! Unadhani kila kilichomo kwenye akili yako ndo kiko hivyo hivyo kwenye uhalisia.
Nataka nikwambie kuwa unakosea, tena sana! Jifunze kuwaza nje ya box, jifunze kuwa na flexible mind & jifunze kuwa tayari kusikia hata usiyopenda kuyasikia.
Kwa kusema hivo namaanisha hivi, kuna mtu anaweza kuwa yuko 40 lakini wala hakuwa kicheche, hakuwa na bahati tu. Na siyo kwamba walioko kwenye ndoa ndiyo wenye akili sana, au wametulia sana au wako bora sana!
Ukishajifunza kuangalia dunia kwa jicho la tatu, hutakaa kumvunja mtu moyo na ku-generalise mambo!
Wewe jamaa nahisi huna hata passport namaanisha hujajichanganya ulimwenguni kwenye jamii tofauti. Na hili ni tatizo la watanzania wengi. Ndoa sio ya Kila mtu. Yani sio kila mwanaume ameumbwa kuoa na sio kila mwanamke ameumbwa kuolewa, Yani ndoa sio ya kila mtu. Vilevile sio kila mtu ameumbwa awe mzazi, wengine hawatakiwi kulea watoto sababu hawana uvumilivu Kwa watoto. Jamaa kakwambia ukweli, tupo kwenye stage ya ushamba miaka ya baadae tutaona kawaida kuhusu kuoa na kuolewa kuwa sio ishu. Kama ilivyo kwenye teknolojia tulivyozidiwa na wazungu, vilevile hii stage ya kuona kuolewa ni lazima wenzetu walishaipita miaka mingi. Kama furaha yako ni kuwa na familia usidhani ni kila mtu. Sasa hivi furaha ya kila mtu duniani ni kuwa na hela nyingi na kuwa na peace of mind basi. Mengine ni nyongeza tu.Sasa nyongo ya mamba ni sumu au si sumu maana ndio ukweli upo hapo.
Kuhusu kitambi haikuwahi kuwa agreed na watanzania wote kuwa kitambi ni ishara ya utajiri maana hata masikini walikuwa navyo.
Tukirejea kwenye eneo la ndoa, hili janga limeanza kuonekana mwanzoni mwa miaka ya 2000 hadi leo hii ni miongo miwili so it means sio muda mrefu tokea janga lianze na sasa ndipo wale walioshobokea life style hiyo ya janga wanaanza kuvuna walichopanda.
Sasa acha kupotosha kwamba kuna siku kwamba jamii itazoea wanawake kuishi bila Ndoa huko ni kujidanganya kwasababu zifuatazo.
1. Kwasasa kutokana na kutetereka kwa taasisi ndoa kumekuwa na ongezeko la watoto wa mitaani. Jamii imejua ndio maana kelele za ndoa zinaongezeka miaka hii kuliko kipindi chochote kile cha jamii ya mtanzania.
2. Ndoa ni taasisi muhimu katika ujenzi wa taifa. Viongozi na jamii wanalijua hilo hivyo ni ngumu kuwa watachekea kufeli kwa taasisi hii.
3. Wanawake wanaoishi nje ya ndoa ni minority ya population ya wanawake wote. Idadi kubwa ni waliopo katika ndoa maana zinafungwa kila siku, na wale mabinti ambao bado hawajaolewa.
4. Ndoa ndio chimbuko la mafanikio ya kiuchumi na ustawi wa jamii ikiwamo malezi ya watoto, wanaume hawataacha kuoa na watatafuta wanawake ambao wanavigezo vya kuwa mke sio bora mwanamke, sasa umri ukiwa umeenda wewe tayari hauna vigezo wataolewa mabinti wadogo chini yako umri wa chini ya miaka 30.
So tusipotoshane kuwa kuna siku jamii itasema ndoa ni mzigo na watu waishi kiholela bila NDOA hiyo sahau.
Katika taasisi imara na ya muda mrefu basi ni ndoa. Imekuwapo kwa vizazi na vizazi. Hailazimishwi ila watu huitafuta na kuingia kwa moyo wa hiyari na wakuitaka kwa masilahi yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua changamoto ninayoiona ni kuwa katika jamii kuna watu kama wewe ambao huwa mnajifanya ni comforter in general wa jamii. Ila huwezi kuta mtu kama wewe unakaa chini kukemea binti ambae katika umri mdogo kwa makusudi anachagua kutumia mwili wake kama malighafi ya kujipatia kipato.Mambo kama hizi ndio zinawatia dada zetu pressure. Unakuta huku uswahilini watu wamechukuana tu wanaishi chumba kimoja kila siku ugomvi, maisha hayaeleweki lakini bi dada akitoka hapo anaenda kujisifia kwa wenzake eti mimi nina mume na kila siku anakula kipigo.
Madhara yake inapelekea msichana kuangukia kwa mwanaume hata asiekuwa sahihi ili tu nae aonekane ni mkee wa mtu kitu kinacho zidisha idadi ya masingo maza kwa kasi ya 5g.
Kwa miaka 35+ kwa mwanamke huyo ni mkongwe kama hana mtoto ndio wakati wakutafuta na sii kukimbilia kutafuta mume.
Kama tayari kwa huo umri unawatoto endelea tu na maisha yako, ukipata wa kukuchakata siku moja moja sio mbaya maana sii vizuri mwanamke kukaa muda mrefu bila kutombwa
Chipsi hata zikiwa na pili pili nyingi kiasi gani bado ukiziona utatamani tu kuzila tena na tena.Mwanamke wa miaka 35 kashakwepa mishale mingi ya kimahusiano wengi hata nyege zenyewe hawana, na ukikuta anayetaka kuolewa sababu maisha magumu apate wa kumtunza wachache ambao hawajapitia misukosuki ndio wataishi kwa stress ya ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu ni ukweli mchungu hakuna mwanamke alishawahi kuprove otherwise.Uongo huoo
Daah kweli “sukuma ndanii” unawapa makavu live!! Wanajifariji tu ila in reality deep down wanaumia sanaHakuna kitu kama hicho. Hili kundi litakuwa shamba darasa kwa wadogo zao na mabinti zao ambao wataona madhara ya kuleta ushubwada na udangaji kwenye maisha na mambo serious.
Vibinti vya kuzaliwa kati ya mwaka 1999 na 2000 kuja uku juu ndivyo vinakimbiza soko kwa sasa na vinaolewa mapema sana katika umri wa kati ya 20 hadi 25. Fuatilia.
Wameona dada zao wanavyozalishwa na kutupwa sababu ya kuendekeza udangaji na tamaa za mali.
Pia wameona hasara ya kuruka na wanaume tofauti kila mwaka.
So trust me it won't be accepted. Ila hawa sasa shamba darasa sasa hivi baada ya kuwa "Age go" wanaanza kuleta kauli za kishujaa ndio tunapita nao kinoko hivi kwa kuwapa makavu live.
Wanataka tusympathize nao kwani sisi ndio ambao tuliwaambia wawe micharuko kipindi wakiwa mabinti?
Hapa tunasukuma ndani wadangaji.... Sukuma ndani vicheche wastaafu ..... Sukuma ndani wale waliosema umepata wapi namba yangu..... Sukuma ndani wale wa koma kunifuatilia maisha yangu mimi sio type yako..... Sukuma ndani wale wa sihitaji ndoa mimi..... Sukuma ndani wale wa nitaolewa nikitaka kwasasa naishi nitakavyo..... Lazima watoke jasho.
Sukuma ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kishatufunwa tafunwa sana hadi kufika hapoHivi kufikia muda umri huo kinakuwa kimekauka eti?
Kuna watu hawajali. Kinachowachosha ni kelele za watu wanaowataka wajali kama wao. Wawe na mtazamo kama wao. Mmoja anafikiri kuolewa ni mafanikio. Anataka na wengine waone hivyo. Wengine huwa hata watoto hawataki, lakini wale wenye watoto watataka kuflaunt watoto wao. Ni stage ya ushamba tu tunapitiaMafanikio huleta furaha na pride au confidence. Mafanikio yapo nyanja mbali mbali katika level ya mtu binafsi.
1.Kielimu
2.Kijamii
3.Kiuchumi
Hayo ndio top three ila sio kila mtu anafanikiwa katika yote. Ukikosa kimojawapo huwa kuna hali ya kujihisi duni tu na kuona kama hueleweki kwenye jamii hata ukijifanya hujali ila sononeko lipo tu.
Unaona sasa wanawake mlivyo na roho mbaya kwa wenzenu? Unasema kitu kibaya yet bado upo nacho.Umuhimu wa ndoa kwangu ni kwasababu Sipendi Uzinzi na kuzaa hovyo kila mtoto na baba yake. Nje ya hapo sioni umuhimu wa ndoa.
Ningezaa na mwanaume mmoja kila mmoja na maisha yake tusaidiane kulea nikitaka mechi natafuta kiwanja chochote naenda kuchakachua. Maisha ya ndoa ni utumwa tu.
Uliambiwa kuwa kipindi icho walikiwa micharuko ama izo ndo estimations zako kwa Sasa,ukiwa inaishia kwenye dunia hii Kuna vitu vingi vitakavyo pelekea situation kwa mlengwa yaweza kuwa mbaya au nzuri .kwaiyo wewe ukipita maisha Yako ya myooko usizani Kila sampuli ya wasichana ni wadangaji ndo mana hawajaolewa mpaka Sasa ..loooh mfyuuuDaah kweli “sukuma ndanii” unawapa makavu live!! Wanajifariji tu ila in reality deep down wanaumia sana
Kinaisha utamu?Kishatufunwa tafunwa sana hadi kufika hapo
Tunda lishamegwa megwa yaan umewahi kuona 🍎 lililomegwa juu chini katikati kushoto kulia
😜
At least wewe dada umetoa hoja nzuri. Umeongea jambo la kuwasaidia wanawake wenzako. Ila sio hawa wakuda wengine wanaojaribu kutetea eti ni kawaida na aina shida wakati wenzao wanateseka na kufedheheshwa na haya maisha ya usingo.Ndoa za Mitara zipitishwe ili hao wengine wapate stara
Kabisa yaani. Wewe dada unajua maana ya NDOA. Maneno yako yamenyooka kabisa. Na MUNGU atakubarikia uzao wako utakuwa wa ndoa.Ni Utumwa kama uliyeoana nae hujampenda/hajakupenda.... Kama mmependana yaani unaishi na Soulmate wako ni Maisha ya Raha yasiyoelezeka,
Kikubwa ni kujuana Tabia na kuishi kulingana na Mazingira yenu, migongano hua ipo tu ndio Ubinaadam lakini Ndoa sio mbaya Watu ndio wabaya.