Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

At least wewe dada umetoa hoja nzuri. Umeongea jambo la kuwasaidia wanawake wenzako. Ila sio hawa wakuda wengine wanaojaribu kutetea eti ni kawaida na aina shida wakati wenzao wanateseka na kufedheheshwa na haya maisha ya usingo.

Asikwambie mtu nje ya ndoa mtoto wa kike anapatwa na fedheha na mateso mengi.

Ndio maana tunakemea hapa ili hivi vibinti vya umri wa miaka chini ya 23 vijifunze na kujua huku mbeleni hakuna faraja wala kutetewa ni mwendo wa spana na kunangwa hadi adabu iwashike.

Sisi tunawapenda dada zetu ndio maana tunawasema kila uchwao. Achaneni na haya majinga yanayosema tusiwaseme wanawake tunawapa stress. Haya majinga ndio yamesababisha mabinti wanazalishwa hovyo sababu ya ile dhana mbaya kuwa mtoto wa kike hasemwi au hakemewi anapokosea.

Zamani watoto wa kike kitendo cha kuvaa nguo za kukosa maadili anasemwa kama kauwa mtu siku hizi mabinti wanavaa nyavu inaonyesha kila kitu cha ndani anapanda boda boda anajiachia kwenye barabara huko wanawake wenzake mnakaa kimya wanaume wanachekelea na wale wanaochukizwa wanashindwa kusema. Haya mambo yanazidi kuongezeka, sasa mnataka tucheke.

Ukiona mtu umri umefikia 35+ hayupo katika mahusiano serious nakuapia hapa asilimia 99% ni yeye. Miaka 35+ amekutana na wanaume wangapi kwa idadi?!


Wangapi walionyesha nia ya kumtaka kimaisha akasema hapana mimi nina mipango yangu kwanza. Leo wanajifanya ooooh mipango ya MUNGU, MUNGU gani huyo wanaemzungumzia.

Juzi tu hapa napita mtaa fulani nimekutana na mabinti wazuri sana rika la 22,nikawasimamisha kuwasalimia na kuwauliza jambo, walinipita kama ni mchina ameongea kichina na watu ambao ni mabubu na viziwi. Yaani ile dharau ya dry. Dah nikasema kwasababu "subirini mfike miaka 30 na hizo dharau zen"[emoji23][emoji23]

Wakacheka kile kicheko cha umetuchekesha balaa nikasikia m'moja anawauliza wenzake " Amesemaje? "

Sasa hawa wasipotoboa baade hadi 35+ kimahusiano lazima tuwakalie kooni.



Sent using Jamii Forums mobile app
Hii misumari uliyogonga humu, ni hatari, ni kuntu kweli kweli.
Waambie maisha ukiyachezea na yenyewe yatakucheza shere
 
Viafrika bwana vikipata exposure ya kufika mataifa ya magharibi vinajisahau kabisa nakuona jamii zao za kiafrika ni tatizo ila hao watu wa magharibi ndio wapo civilized zaidi.


Sasa wewe mimi utaniambia nini kuhusu mataifa ya magharibi na jamii za huko na tamaduni zao. Hebu usifungue topic ambayo hatutamaliza leo.


Kwakifupi wewe umepotoka na umeshakuwa assimilated na jamii ya kimagharibi yaani uzungu mwingi. Naotea wewe hata watoto wako (kama unao) utawalea kwa misingi hiyo hiyo potofu ya kimagharibi ya mataifa kama US na Western Europe countries.

Siajabu wewe hata wale wajamaa wa upinde ni ajenda una sapoti maana unaonekana tu kwa namna unaongea. Anyways lets not get too personal about this tujikite katika mada.

Familia ni kitu muhimu sana katika ustawi wa jamii yoyote kwenye kutengeneza wealth, personal character, stability ya jamii, na kujenga uchumi imara.

Hili ni kosa ambalo US na washirika wenzake wa mlengo wa soko huria now wanalipia gharama kulipuuza. Tazama mataifa kama china, india na haya ya kiarabu, why unadhani yanapiga hatua vema kipindi hiki cha miaka ya economic crisis kama hizi za sasa kwasababu wealth kwao ipo rooted at the family level.

Kuna mengi unatakiwa ufahamu namna uchumi wa taifa unalindwa Katika ngazi ya taifa na inakuwa ni rahisi sana kuendesha taifa na kulikuza kiuchumi kwa namna hiyo na kushindana na umasikini.

No wonder African nations tunaanza kurudi nyuma sababu tumefeli sana eneo la familia sababu tunadhani familia ni kwaajiri ya kuzaa tu watoto na kugombana mke na mume na kuhangaika na mafunanizi na ngono. We lack the true purpose of family function in a nation.



Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee nimepata jambo zito sana hapa. Asante!
 
mbona sawa tuu....

shida ni pale wengine wanapokuona mkosaji, its your fault and you should feel guilty about it,

lets face it, hata km Mungu angeumba wanawake population sawa na wanaume, still sio wanawake wote wangeolewa due to other factors as well,

yes im 39 single, dont feel sorry for me, there's nothing to feel sorry about and dont bother make me feel guilty, you wont suscseed..lol
Daaah my lecturer taught me,, how people hide their pain in sentences leo ndo nimeamini[emoji16][emoji16] pole lakini
 
Yaani wewe ndio unafit perfectly nilivyodescribe hapo juu...

Mnataka tuwe watu waku feel sorry for ourselves, sad, tulie...

Mkikuta hali ni tofauti,napo hamuamini,,,

Mnakuja na story za kujifanyisha, kwamba tunajifanyisha tuko strong...

Yote ni sababu mnaamini kutokuolewa ni kitu cha kinyonge, mtu lazima afeel sad,

Bro huwezi kujua perfectly kutokuolewa kuna feel aje,....

Zote ulizonazo ni imaginations/assumptations tu...

Again, there's no guilty about it, and there's no kujifanyisha strong either...
Sentence kadhaa zingetosha kumuelewesha[emoji16][emoji16] pole
 
Tatizo lako unalazimisha vitu ambavyo havipo...

Huwezi kujua ama kuwa certain na minds za watu...sababu hauko kwenye hizo minds...

Unadhani kwa nini kasema ukiwa mentally stable huwezi ku succumb kwenye social pressure za kuolewa kama wewe unavyotaka ku pressurize hapa kuwa kuolewa ni ultimate thing?????
Sorry naomb niulize
What are you good at,,,kwa career yako
 
Who told you kuwa mwanamke anatakiwa aishi na mwanaume ?Mwanamke anaweza ishi na mwanaume na anaweza ishi peke yake pia. Yesu mwenyewe aliishi peke yake. Paul anasema kabisa anatamani wanaume waishi peke yao. Ila.sababu ya matamanio so kila mwanaume awe na mwanamke wake. So mwanaume anaweza ishi peke yake,mwanamke pia anaweza ishi peke yake .
Acha uongo alisema kama unaweza ishi pekeyako na hii yote ni kwa ajili ya injili[emoji16][emoji16] unadhan paulo angekuwa na mke, kw yale maswaibu aliyokuwa akiyapata mke wake si angekuga kwa pressure
 
Acha unafiki hapa. Wewe ndie utakae waoa. Au unawafariji wenzako kinafiki?

Unafananisha umasikini na Ndoa, haupo serious na maisha wewe u need to educate yourself.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mimi siyo mnafiki, unasumbuliwa na ushamba tu bro. You need to travel and get exposure, dunia ni kubwa kuliko Tanzania.
 
Kwahiyo kwa hoja yako kuwa ndoa ni jambo binafsi?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba mtu inapofikia muda wa kuoa au kuolewa ni issue yake binafsi kwa 100%?


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] My dear unahitaji kurejea mafunzo ya ndoa pia ukasome katiba ya nchi, miongozo mbali mbali na maandiko ya mawizara na asasi za kijamii kuelewa functionality za ndoa.

Hayo maamuzi yako ya kusema unataka au hutaki ndoa ni yako wewe kwa perception. Uhuru ulio nao kuhusu ndoa yaani kuamua kwasababu zako binafsi inaishia katika kupeak nani utaishi nae tu hapo basi. The rest wewe hauamui lolote maana benefits zinagusa watu wengine na taasisi nyingine.

Unaoa au kuolewa ili taifa lipate raia wema kwa maana ya watoto.

Unaoa au kuolewa ili jamii ikue na kuendelea

Unaoa au kuolewa ili kulinda culture ya taifa au jamii (race) kama unabisha nenda kwa waarabu au wahindi utake kuolewa kule ndipo utajua sio swala binafsi na maamuzi binafsi kujiamulia tu kama unachagua tu kama kwenda mjini au usiende.

Ndoa ndio taasisi ya kwanza kabla ya zote uzijuazo hapa duniani na katika taifa lolote ndio maana inaheshimiwa popote unapokwenda.

Kuoa au kuolewa sio lazima ya vita ila ni lazima ya hiyari kama ile ya kulipa kodi, ya kula chakula, ya kunywa maji, ya kuoga, ya kufanya mazoezi. Yaani ni ile wanasema lazima ya hiyari. Utake usitake utafanya sababu si kwaajiri yako tu ni kwaajiri ya wakupendao, kwaajiri ya jamii yako, kwaajiri ya taifa na nikwaajiri ya Dunia kwa ujumla.

Unaweza kuwa na matatizo yako ya kiakili au kihistoria ila nenda kayatibu urudi kwenye mstari uitafute ndoa ukaitumikie.

Maisha nje ya ndoa kwa mtu asiye na dosari wala shida yoyote ni dharau kwa muumba na ni kinyume na maadili ya kijamii. Haya mabaya yote yanayotuzonga yakiwamo maradhi ya zinaa ni matokeo ya watu kufikiria kama WEWE.

Unasema mtu hataki ndoa, je, maisha yake yote hafanyi mapenzi, je hataki faraja ya mke au mume, je anatumia vipi faragha yake, je maumbile yake hayatamii kupata mtoto, kwan hapati ndoto nyevu hapati hedhi, haya yote ni taarifa kuwa ndoa haina pingamizi.

Changamoto za kibinadamu zipo ila si sababu ya kuikana ndoa. Ndio maana umepewa uhuru wa kuchagua utakayeishi nae nje ya hapo ni kujiendekeza. Mara oooh nimeumizwa, sasa umeumizwa na wanaume wote Duniani? Si ubadili mitazamo yako ujue ni wanaume gani wa kwenda nao ila sio kususa Ndoa.

Ndoa haikwepeki. Ukiona mtu anaikwepa jua ana matatizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Maneno kuntu haya umechambua vyema.
 
Hapana mimi siyo mnafiki, unasumbuliwa na ushamba tu bro. You need to travel and get exposure, dunia ni kubwa kuliko Tanzania.
Niambie hata akisafiri ni jamii gani inapinga ndoa? Hakuna kitu kama icho wote duniani wanasapot Nina hakika 100%

Huwezi kufanya manipulation katika ndoa utasimama na msimamo wako hata ulee watoto upande mmoja kuna shida sio sawa na watoto waliozaliwa ndani ya ndoa
 
Niambie hata akisafiri ni jamii gani inapinga ndoa? Hakuna kitu kama icho wote duniani wanasapot Nina hakika 100%

Huwezi kufanya manipulation katika ndoa utasimama na msimamo wako hata uelee watoto upande mmoja kuna shida sio sawa na watoto waliozaliwa ndani ya ndoa
Rafiki yangu wapo watu wengi mno hawa amini kwenye ndoa, dini wala kupata watoto. Kama umewahi kuishi Western world hili suala lingekuwa clear kwako. Nitaendelea kupinga hii pressure tunayopa wanawake na hata wanaume kufunga ndoa ni ujinga mtupu.
 
Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa?

Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na hawana makao katika familia zao hasa katika hali ambapo wazazi na ndugu wanatoa maneno ya kejeli kuhusu useja wao.
Ni nguvu ya asili maana kuna wengine huolewa lakini hufiwa na waume zao katika age hiyo
 
Rafiki yangu wapo watu wengi mno hawa amini kwenye ndoa, dini wala kupata watoto. Kama umewahi kuishi Western world hili suala lingekuwa clear kwako. Nitaendelea kupinga hii pressure tunayopa wanawake na hata wanaume kufunga ndoa ni ujinga mtupu.
Hizo jamii kama izo zishapotea wacha kumdanganya watu zipo documentary za watu baadhi ya visiwa hawataki kuzaa wala kuoa ila wamepotea wote kabisa na zinaisha miaka 50 ijayo hamna kitu

Sasa elewa kwamba kuzaa lazima ili kusurvive kwa species fulani kama ivyo ivyo tuone 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom