Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Sasa ananiachaje mbona na wewe unakuwa mkali na unajua tunatimiza wajibu hapa. [emoji23][emoji23]Achana nae huyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ananiachaje mbona na wewe unakuwa mkali na unajua tunatimiza wajibu hapa. [emoji23][emoji23]Achana nae huyo
Tupe mfano wa hivyo vitu vya kufanya kwa uhuruKuna vitu huwezi kuwa huru kuvifanya ukiwa ndani ya ndoa Haijalishi mwanamke au mwanaume .
Yule jamaa yetu vipi tena jamani?Bado tuna matumaini 😶🌫️😶🌫️
Tukibahatika tutaolewa hata uzeeni.😏
Hajapatwa na ule muujiza wa kuamka ndani ya Ndoa huyu. Atakuwa anaita "Mume wangu" mara 1000 kwa siku ile tu furaha ya kujua huyu jamaa ni wangu wa halali wa ndoa. Ndoa ina maajabu yake bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Human nature itaendelea kubaki pale pale huwez shindana nayo mwanamke anatakiwa Aishi na mwanaume same kwa mwanaume
Kuna mmoja alikua kama wewe siku amepata mwanaume akaolewa alipata furaha ambayo sikuwahi kuiona nikamuuliza vip Ile misimamo yake akaniambia niache ujinga in short huwez shindana na nature
Mademu wa jf bwana sijui wanadate wanaume wa namna gani huko duniani🤣🤣🤣🤣Mwanaume mwengine hataki ufanye kazi yoyote weka pembeni hizo sherehe za stara .
Aisee....sasa mbona de libolo haliishi utamu lakini mna mind wanaume wakionja onja mbususuKinaisha utamu?
Kwahiyo kwa hoja yako kuwa ndoa ni jambo binafsi?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba mtu inapofikia muda wa kuoa au kuolewa ni issue yake binafsi kwa 100%?Sio wasiolewe .Kuna wengine hawataki kuolewa ndo hao wewe unawajaji. Wao wana furaha kutokuolewa. Tatizo mkimwona mtu ana 40 na hajaolewa mnaona anaishi maisha ya huzuni. Nop ikute mtu kaamua mwenyewe na ana furaha,unless mtu ambae anapenda kuolewa na hajaolewa. Binafsi hata kama nisingeolewa ningekuwa sawa tu.
Kwahiyo wewe hoja yako ni wanawake wasiolewe waendelee kuzalishwa huko nje halafu mkienda bungeni wale vichwa panzi wa viti maalumu wanasema wanaume wanawanyanyasa wanawake na kutekeleza watoto kisha zinatungwa sheria ambazo zinatumia pesa zetu za kodi katika utekelezaji wake wa matamasha ya uhamasishaji?Who told you kuwa mwanamke anatakiwa aishi na mwanaume ?Mwanamke anaweza ishi na mwanaume na anaweza ishi peke yake pia. Yesu mwenyewe aliishi peke yake. Paul anasema kabisa anatamani wanaume waishi peke yao. Ila.sababu ya matamanio so kila mwanaume awe na mwanamke wake. So mwanaume anaweza ishi peke yake,mwanamke pia anaweza ishi peke yake .
Swali la msingi sana hili.HV mpaka unazaa na mtu uliwaza nn au kutamani kipi Kati yenu ?
Kuolewa sio swala la bahati mnapenda kuwaaminisha watoto wakike kuwa kuolewa ni bahati.Siyo kila Mwanamke ana bahati ya kuolewa, inapotokea hivyo inabidi kukubaliana na hali maisha yaendelee.
Huyo atakuwa na matatizo ya akili. Maana hata kama sio swala la kazi mke lazima awe na shughuli ya kumkeep busy ili awe anajimix na jamii inayomzunguka na hata kuingiza kipato cha ziadaMwanaume mwengine hataki ufanye kazi yoyote weka pembeni hizo sherehe za stara .
🙊Sasa ananiachaje mbona na wewe unakuwa mkali na unajua tunatimiza wajibu hapa. [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida.Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa?
Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na hawana makao katika familia zao hasa katika hali ambapo wazazi na ndugu wanatoa maneno ya kejeli kuhusu useja wao.
Vyombo vya habari vya kawaida pia hutoa mawazo haya, kwa mfano katika maonesho kama vile sitcom maarufu, ‘Ngono na Jiji’ ambayo inawakilisha wahusika wakuu wa kike ambao wanazingatia sana ndoa.
Je, unaweza kuwa na furaha ukiwa single katika miaka ya 35 na zaidi? Hilo tuongee hapa.
😳Sasa hawa wasipotoboa baade hadi 35+ kimahusiano lazima tuwakalie
Viafrika bwana vikipata exposure ya kufika mataifa ya magharibi vinajisahau kabisa nakuona jamii zao za kiafrika ni tatizo ila hao watu wa magharibi ndio wapo civilized zaidi.Wewe jamaa nahisi huna hata passport namaanisha hujajichanganya ulimwenguni kwenye jamii tofauti. Na hili ni tatizo la watanzania wengi. Ndoa sio ya Kila mtu. Yani sio kila mwanaume ameumbwa kuoa na sio kila mwanamke ameumbwa kuolewa, Yani ndoa sio ya kila mtu. Vilevile sio kila mtu ameumbwa awe mzazi, wengine hawatakiwi kulea watoto sababu hawana uvumilivu Kwa watoto. Jamaa kakwambia ukweli, tupo kwenye stage ya ushamba miaka ya baadae tutaona kawaida kuhusu kuoa na kuolewa kuwa sio ishu. Kama ilivyo kwenye teknolojia tulivyozidiwa na wazungu, vilevile hii stage ya kuona kuolewa ni lazima wenzetu walishaipita miaka mingi. Kama furaha yako ni kuwa na familia usidhani ni kila mtu. Sasa hivi furaha ya kila mtu duniani ni kuwa na hela nyingi na kuwa na peace of mind basi. Mengine ni nyongeza tu.
Ni kusukuma ndani.....Daah kweli “sukuma ndanii” unawapa makavu live!! Wanajifariji tu ila in reality deep down wanaumia sana
Kila mwanaume kwao ana matatizo ila cha ajabu ukimuuliza haya matatizo wewe personally yalikukuta unakuta ni ile anahadithia experience za wanawake wengine ambazo ni very rare kutokea katika mahusiano.Mademu wa jf bwana sijui wanadate wanaume wa namna gani huko duniani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ni aina ya watu ambao huwa wanadhami mawazo yao pekee ndio sahihi. Ndo maana kwenye hii thread Kila asiyekubaliana na mawazo yako unaona hayupo sahihi.Viafrika bwana vikipata exposure ya kufika mataifa ya magharibi vinajisahau kabisa nakuona jamii zao za kiafrika ni tatizo ila hao watu wa magharibi ndio wapo civilized zaidi.
Sasa wewe mimi utaniambia nini kuhusu mataifa ya magharibi na jamii za huko na tamaduni zao. Hebu usifungue topic ambayo hatutamaliza leo.
Kwakifupi wewe umepotoka na umeshakuwa assimilated na jamii ya kimagharibi yaani uzungu mwingi. Naotea wewe hata watoto wako (kama unao) utawalea kwa misingi hiyo hiyo potofu ya kimagharibi ya mataifa kama US na Western Europe countries.
Siajabu wewe hata wale wajamaa wa upinde ni ajenda una sapoti maana unaonekana tu kwa namna unaongea. Anyways lets not get too personal about this tujikite katika mada.
Familia ni kitu muhimu sana katika ustawi wa jamii yoyote kwenye kutengeneza wealth, personal character, stability ya jamii, na kujenga uchumi imara.
Hili ni kosa ambalo US na washirika wenzake wa mlengo wa soko huria now wanalipia gharama kulipuuza. Tazama mataifa kama china, india na haya ya kiarabu, why unadhani yanapiga hatua vema kipindi hiki cha miaka ya economic crisis kama hizi za sasa kwasababu wealth kwao ipo rooted at the family level.
Kuna mengi unatakiwa ufahamu namna uchumi wa taifa unalindwa Katika ngazi ya taifa na inakuwa ni rahisi sana kuendesha taifa na kulikuza kiuchumi kwa namna hiyo na kushindana na umasikini.
No wonder African nations tunaanza kurudi nyuma sababu tumefeli sana eneo la familia sababu tunadhani familia ni kwaajiri ya kuzaa tu watoto na kugombana mke na mume na kuhangaika na mafunanizi na ngono. We lack the true purpose of family function in a nation.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah mtaalamu dada zetu bhana na wishes zao wakiamin wajuba ukiwazalia umewakamata.
ila kuzaa si Ni kuanzisha familia ..it means walishawaza kuwekwa ndani au kuishi pair till vitu viende hovyo.