Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

For me naamini kwenye msingi wa familia ile baba,mama na watoto, ila age is just a number, mtu anaweza kufika umri huo ndyo akapata mume na wakaanza a happy and blessed family...
Sasa je, una kwama wapi mzee mwenzangu, njoo tuanzishe familia sasa.
 
Number moja; wengi mliojibu ni wanaume mnapinga vikali kuwa kuna wadada walio accept maybe marriage is not at the moment for them, and they are to focus on other things. let me tell you something; you are not a woman and second you are NOT above 35, iweje mjue zaidi what goes in these women's minds ama what it feels kutokuolewa kama nyinyi sio wanawake na sio wenye group lililotajwa (above 35),???

Number two;Sijui backgrounds zenu ila kwenye social sciences tunaambiwa huwezi kupata unified answer when it comes to people's perceptions. Namaanisha huwezi ku measure ATTITUDES za watu towards something then ukapata jibu moja kuwa wote ni A ama wote ni B,, never. lazima kutakuwa na degree of variability hata kama ni kidogo. So nyinyi mnaoexpect sijuii wanawake WOTE tunaumia au tuumie tusipoolewa,mtakuwa na hitilafu kwenye ubongo!

Tatu; NOT everybody sees things in the same lens as you do and what you construct of the world as to be ideal is not and is not expected to be every body 's construct.

Tchao.
 
Hizo jamii kama izo zishapotea wacha kumdanganya watu zipo documentary za watu baadhi ya visiwa hawataki kuzaa wala kuoa ila wamepotea wote kabisa na zinaisha miaka 50 ijayo hamna kitu

Sasa elewa kwamba kuzaa lazima ili kusurvive kwa species fulani kama ivyo ivyo tuone ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Acha kujichekesha, siyo lazima wafunge ndoa kupata watoto jifunzeni kuishi maisha yenu.
 
Daah kweli โ€œsukuma ndaniiโ€ unawapa makavu live!! Wanajifariji tu ila in reality deep down wanaumia sana
Wanaumia kwa sababu ya unyanyapaa na sio sababu ya kutokuolewa. Lau kile mtu angejali maisha yake na kuachana na maisha ya wengine ingeleta amani zaidi.
Jamii imezidi sana unyanyapaa na kejeli.
 
Kwa sababu kisaikolojia najua unaumia.
Najua haupo sawa ila hautakubali.
Watu wa jamii yako hupenda kujionesha wako very stable na strong ila wakiwa chumbani peke yao machozi ya damu hulindima kwenye mashavu yao.
You are very correct aisee! Wawili ni zaidi ya mmoja siku zote!
 
Back
Top Bottom