Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Mtoa mada anatamani wanawake watokee katika uzi wake wakomenti kwa majuto na kulalama kuwa wanakosa jambo muhimu maishani mwao

Mtoa mada anasahau kuwa watu hawajapewa kila kitu kwenye maisha yao
 
Kwa hiyo unakubali Kuna upungufu sehemu?
 
Kuna mmaza ana 55 katolewa mahari, harusi ni hivi karibuni,, katika umri wowote mwanamke ana uwezo wa kuolewa kwa heshima vizuri tu
 
nadharia tu furaha ya mtu uanzia kwake mwenyw haiitaj mtu uwe na furah ukijiic unaitaj mtu il uwe na fura bc kwa kiac fulan utakuw ushafail
 
Kuna watatu wenye umri zaidi ya huyo hivi karibuni tunakula ubwabwa,
Hiyo % unayo izungumzia Mathematical is equal to zero,kuna umri ukifika bila mtu unaweza ukaa miaka tano husipate mtongozo wowote. Wengine wamekubaliana na hali halisi wanawatafuta vijana wadogo tu wa kuwakuna maisha ya endelee.
 
Wanaume mnazungumzia Hali zetu Kwa uhakika km mmeshawahi kuwa ke vile
 
Kuna mmaza ana 55 katolewa mahari, harusi ni hivi karibuni,, katika umri wowote mwanamke ana uwezo wa kuolewa kwa heshima vizuri tu
Miaka 55 wanaenda kutaga au?
Kila raha na wakati wake bibie mrembo, mlimbwende,mlembwekeza u mzuri sana usikubali Dunia ikuhadae mpaka uote kutu ndio upate Huba toka kwa aliyekustahiri toka mwanzo.
 
Kuna mmaza ana 55 katolewa mahari, harusi ni hivi karibuni,, katika umri wowote mwanamke ana uwezo wa kuolewa kwa heshima vizuri tu
Hapo mtaalamu huyo anavizia pension ya huyo bibi kizee.

Ila hakuna pendo Wala Mapenzi ya dhati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…