Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Kutoolewa katika umri fulani huja na maneno mengi, na mengi huwa hasi, ya kukera au kuumiza. Lakini je, kila kitu ni kibaya kwa wanawake ambao wamefikia umri wa miaka 35 au zaidi na bado hawajaolewa?

Wanawake wengi wasio na waume walio na umri wa miaka 35 na zaidi, wanahisi kutokuwa salama na hawana makao katika familia zao hasa katika hali ambapo wazazi na ndugu wanatoa maneno ya kejeli kuhusu useja wao.

Vyombo vya habari vya kawaida pia hutoa mawazo haya, kwa mfano katika maonesho kama vile sitcom maarufu, ‘Ngono na Jiji’ ambayo inawakilisha wahusika wakuu wa kike ambao wanazingatia sana ndoa.

Je, unaweza kuwa na furaha ukiwa single katika miaka ya 35 na zaidi? Hilo tuongee hapa.
Itategemea kama una hela au hauna.....
 
By the way uko na 35+ mwanamam usijiskie vibayaaa njoo tuu PM tuyajenge.😊😊😊 kimasihara sihara kwa first time na me ntapukuchua mbususu ya 35 plus
 
Simple, ndoa zimetengenezwa na binadamu.
Dah sasa ulitarajia zitengenezwe na majini?
Ulitaka mahitaji yao ya kimwili yakidhiwe na matango?
au wapandane bila utaratibu?

Unafiki tu, huyu asiolewa mahitaji yake ya kimwili hapati?
kama anapata ndio utaratibu wa jamii ulivyo?

Watoto wanaozaliwa na baba wa kuunga na bluetooth hawaathiriki?
Unafikiri kwa nini watoto walelewao na single parents wana changamoto zaidi?
 
Dah sasa ulitarajia zitengenezwe na majini?
Ulitaka mahitaji yao ya kimwili yakidhiwe na matango?
au wapandane bila utaratibu?

Unafiki tu, huyu asiolewa mahitaji yake ya kimwili hapati?
kama anapata ndio utaratibu wa jamii ulivyo?

Watoto wanaozaliwa na baba wa kuunga na bluetooth hawaathiriki?
Unafikiri kwa nini watoto walelewao na single parents wana changamoto zaidi?
Mbona hueleweki. Nilikuwa najibu swali lako kama ndoa ni asili. Tuliza akili zako kama unataka tuendelee na huu mjadala.
 
Jaribu kufikiria nje ya box unaamini mwanaume anaweza kuwaridhisha kimwili wanawake nne? Inawezekana sana watu wawili waka date for life bila ndoa. Suala la watoto siyo issue kabisa sababu siyo kila mtu anataka watoto. Naomba nikujulishe kitu siyo kila kitu kinachokubalika na jamii ni sawa. Kuna muda Jamii ilikuwa inakubali utumwa na ndoa za watoto.
Inawezekana kabisa. Mwanaume kwa wiki anaruka hata siku nne za wiki. Tena kuna wengine wana a very high drive anaruka siku saba za wiki hadi mwanamke anaomba Pooh kama hujui uliza. Na hapo mtu hatumii madawa wala nini ni mwili na chakula vinafanya kazi yake.

Na unakuta hana mtu nje so anamla mkewe tu hayo yapo. Sasa mwanamke kikawaida the more akikaa bila kufanya the more akija kufanya ata enjoy. Mfano wake wakiwa wanne ina maana mwanaume akiruka mara mbili na kila mke kwa wiki hapo ndani patakuwa hapatoshi kwa utamu ila wanawake wawe wamemvutia na amewafukuzia mwenyewe.

Kwa upande mwingine, watu hawaoi kwasababu za kingono tu, sababu zipo nyingi sana. Kuna video zipo YouTube za study case ya black community pale America zinazopractice ndoa za mitaala tena wanaishi nyumba moja na wanalala chumba kimoja na jamaa na watoto wao wapo nyumba moja na mama zao.

Wapo vema balaa ngoja nitafute link yake niweke hapa uone usikilize na ujifunze.
 
Kwamba Dunia yako imepitwa na wakati na si promote uzinzi nasisitiza umuhimu wa kuheshimu maamuzi, uhuru na haki za wanawake.
Maamuzi yasiyo na faida na jamio hayafai kuheshimiwa. Mfano unatushauri tuheshimu watu wazima wanaobaka watoto, mashoga, wezi, watu wanaovaa nguo utupu. Haya yote ni maamuzi binafsi ila yana madhara kwa jamii.
 
Yaani wewe ndio unafit perfectly nilivyodescribe hapo juu...

Mnataka tuwe watu waku feel sorry for ourselves, sad, tulie...

Mkikuta hali ni tofauti,napo hamuamini,,,

Mnakuja na story za kujifanyisha, kwamba tunajifanyisha tuko strong...

Yote ni sababu mnaamini kutokuolewa ni kitu cha kinyonge, mtu lazima afeel sad,

Bro huwezi kujua perfectly kutokuolewa kuna feel aje,....

Zote ulizonazo ni imaginations/assumptations tu...

Again, there's no guilty about it, and there's no kujifanyisha strong either...
UNATOMBWAGA?
 
Hujui saikolojia ya watoto wewe,mtoto anapotambulishwa kua huyu ni ANKO wako,then baadae anakuja ghafla anaingia sebuleni,anakuta mmehamia chumbani,nadhani ataona kawaida?Wiki ijayo anatambulishwa ANKO mwingine,hujui mtoto ata-reason?
Wewe kwa confidence unayokua nayokisa saikolojia ya Mtoto huijui,utahitimisha kua ATAONA kawaida.Kuna watoto inafikia kipindi hadi huwa wana-riakti kwa kutowakubali mababa,wanaokujakuja kwa mama zao.Bear in you mind,mtoto anajifunza zaidi kwa vitendo,siyo kwa kuambiwa.
Kabisa mkuu. Umenyoosha maelezo vizuri kabisa.
 
Acha wateseke wangese hao wanaliwa sana wakiwa toka wadogo umri huo wengi ukipiga shoo ni unaelea tu hamna lolote, mwanamke 20+ wanakuwa mabibi tayari bondeni huko mtaa wa K-Vant ndio mkute kazaa au katoa mimba kama zote mbinue vipi ndio kwanza asubiri ujimalizie tu. Mlango wa uani ndio ovyo miharufu kama yote, mapaja mikovu kama yote sijui misukule
Duuh
 
jamani mbona kama mnamu-attack huyu dada Anita ilhali kila mmoja anaelezea hisia zake kwa mtazamo wake?sidhani kama ni sahihi kama kuna ambao wameolewa kabla ya kufika hyo 35 hongera zao na kama kuna ambao hawajaolewa na wanaona hamna wanachopungukiwa basi waacheni hamna haja ya kumuandama namna hyo
Wewr una lako sio bure.
 
Dah sasa ulitarajia zitengenezwe na majini?
Ulitaka mahitaji yao ya kimwili yakidhiwe na matango?
au wapandane bila utaratibu?

Unafiki tu, huyu asiolewa mahitaji yake ya kimwili hapati?
kama anapata ndio utaratibu wa jamii ulivyo?

Watoto wanaozaliwa na baba wa kuunga na bluetooth hawaathiriki?
Unafikiri kwa nini watoto walelewao na single parents wana changamoto zaidi?
Hawa ndio wa atuletea mapanya road na wadangaji huku mitaani
 
Back
Top Bottom