Atakwambia sex ni starehe. Hawa wanaofika hadi miaka 40 hawajitambui hawa huwa ni changamoto kweli kweli.
Unajua yale mafunzo ya unyagoni yalikuwa yanasaidia sana. Mabinti wanaambiwa purpose ya sex kuwa kwanza ni kwajiri ya kuleta mtoto so ukiwa unalala na mwanaume jua direct au indirect unatafuta mtoto.
Pili ni tendo la starehe sababu lina ambatana na raha ya mwili ila si starehe ya kujiachia pale kama haupo katika mkataba wa ndoa.
Sasa hii sampuli ya
Anita Makirita wamepitwa na hilo somo la awali. Wao wanaingage kwenye sex kufurahisha mwili tu na wanahisi mahusiano ni entertainment kama kwenda club, au kuogelea, au kwenda fiesta.
Ndio sababu hawaoni shida kuacha mahusiano yakiwa katikati na kuruka na mtu mwingine kutafuta ile excitement ya kimahaba sijui kutoana out, kuleteana mauwa, kufanya sex mara saba kwa siku sababu mahaba yamekolea. Hii inawapa akili ya kutotulia na mtu m'moja na matokeo yake wakisikia ndoa wanaona kama wanaambiwa waache tabia zao za kurukaruka kama kicheche na kuwa na mahusiano mapya kila baada ya muda fulani.
Sent using
Jamii Forums mobile app