Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Utawasikia najipenda mbaka najiogopa ukiwaangalia kiundani wanastress mbaka basi
Unajua unatakiwa kuwa kichaa kusema unajipenda mwenyewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi mfano umeanguka kwa pressure hapo au umezidiwa usiku wa manane so utaweza kujihudumia.
 
Huku ndipo Anita Makirita and the rest wanaelekea.
FB_IMG_1659219936427.jpg
 
Reality ni kuwa as you age you will loose alot as a woman who purposefully choose not to be married by making up excuses and lies.
lose a lot, what do you lose??? be specific in your answer...nimechoka kusoma mautopolo yako
 
Huku ndipo Anita Makirita and the rest wanaelekea. View attachment 2360749
Hata uhangaike vipi sijali, kwanza nyie ambao mko disrespectiful kwa wanawake wengine, wanawake walioolewa na nyie wana stress balaa...no one atakua na furaha na mwanaume disrespectiful ...poleni sana., single ladies wanaweza kuwa na furaha zaidi ya wanawake walioolewa na watu wenye mawazo ya kijima km nyie!
 
Sizan Kama Kuna mwanamke mzma kiafya na kiakili akawa hataki kuolewa!!! Ila sema weng wao wanataftaga mwanaume mweny class furan na wa daraja la chini hataki.
Kuna watu wanatafuta dream man wao...
Kuna muda ukikutana na SOUL MATE.....Kila kitu kitajiendesha chenyewe...
Hakuna kiumbe laghai tangu Dunia kuumbwa kama mwanaume......
Kuna wanawake wengine ni complicated....

Kuna mmoja amewai kuniambia AM 4 REAL
yaan wanaume wenzio Huwa wananambia Mimi ni katili, Sina hisia sipendeki....
AM 4 REAL nikiangalia izo lips zako hayo macho yako siwez kujizuia chochote unacho nambia.......

Kuna watu wapo singo sababu wanachagua sana......Kuna wengine wapo singo kutokana na tabia zao zilizo shindikana na kurekebishika plus ujeur
 
Hata uhangaike vipi sijali, kwanza nyie ambao mko disrespectiful kwa wanawake wengine, wanawake walioolewa na nyie wana stress balaa...no one atakua na furaha na mwanaume disrespectiful ...poleni sana., single ladies wanaweza kuwa na furaha zaidi ya wanawake walioolewa na watu wenye mawazo ya kijima km nyie!
Ushasema wanaweza ila najua wajua probability kubwa ni hawana furaha.
 
Pamoja na yote mwanamke akishafika 35yrs na kuendelea bila ndoa ni mtihani hasa,kuna mmoja nilikuwa napigapiga mtaani siku kanipeleka kwake mtoto wake mdogo umri 8yrs akaambiwa msalimie Anko,yule mtoto akauliza huyu Anko mbona hana pikipiki kama Anko wa jana?halafu mama nina Anko wangapi? yule wa gari siku hizi haji kwa nini?
Niliondoka bila kuaga
Watoto wanaelewa kua mbona hali iko hivi?
They don't feel good.
 
lose a lot, what do you lose??? be specific in your answer...nimechoka kusoma mautopolo yako
You loose a chance to have a family of your own, you loose a chance to experience womanhood and motherhood, you loose experience and chance to be a parent, you loose a chance to be someone's wife, you loose a chance to blend families ( yours and your husband's). You loose a chance to make your own home, you loose a chance to be a counselor for your own children, you loose a chance to make family plans with your husband and children. You loose a chance to sleep with your own husband or go out with hime comfortably, you loose a chance to have lawful and legal children ( not bastards), by the end of the day you will buy a dog and take care of it while you die alone miserably.
 
Hata uhangaike vipi sijali, kwanza nyie ambao mko disrespectiful kwa wanawake wengine, wanawake walioolewa na nyie wana stress balaa...no one atakua na furaha na mwanaume disrespectiful ...poleni sana., single ladies wanaweza kuwa na furaha zaidi ya wanawake walioolewa na watu wenye mawazo ya kijima km nyie!
Sasa kwan me nimekukosea heshima wapi lakini mpenzi mbona unapenda kunituhumu uongo, yaani kukukazia tu uolewe nimekuwa mtu mbaya kwako?!

Ila sio kweli ulichosema hapa.
 
Hata uhangaike vipi sijali, kwanza nyie ambao mko disrespectiful kwa wanawake wengine, wanawake walioolewa na nyie wana stress balaa...no one atakua na furaha na mwanaume disrespectiful ...poleni sana., single ladies wanaweza kuwa na furaha zaidi ya wanawake walioolewa na watu wenye mawazo ya kijima km nyie!
Sasa ndio ni ujima?.
 
Vijana wa kileo wanakuambia ringi limeshakata...🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom