Wanawake wenye miaka 35+ wanachukuliaje hali ya kuwa "single"?

Why pick on women?
 
Watu kama nyingi mnaoringa ringa kuoelewa huwa mnaangukiaga kwa wachimbachimvi,walevi, playboys,watu wasio na malengo na maisha yao.

Ndege mjanja hunasa tundu bovu.
Aaaawapi iyo ni mipango ya mungu....ni kwamba tumekosa waume wakutu owa au?unaweza kuolewa mapema ukangukia pua vile vile.....na aliye chelewa ndo akawa the luckiest ever....
 
Mkuu wapo kabisa yaani wapo amini .
 
Kama wewe Ni mwanamke mwenye 30 yes and above,afu kichwani huna elimu ya maana ulikimbia shule mapema,huna kazi Wala huna shughuli yoyote inayokuingizia kipato,bado unaishi kwenu....kwa sifa hizi wewe utakuwa kituko Sana katika jamii Tena utakuchukuliwa Kama kiumbe asiejielewa hata kdgo.Wewe ndio utakuwa unadanga na waume za watu ukiyumbisha ndoa zao.

Kinyume na hivyo Mimi sioni tatizo kuhusu mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30 anayejitambua na bado hajaolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…