Wanawake wenye pesa ndio wenye mapenzi ya kweli

Wanawake wenye pesa ndio wenye mapenzi ya kweli

Unaweza ukawa sahihi kwa namna fulani hivi ingawa kwa Sasa naona wanawake wenye elimu kidogo na kipato Cha kati, na waliodanganywa kuwa Ni wazuri (Rangi nyeupe na tako) Ni tatizo kubwa Sana ! Wanaume waliooa wanaweka ambao sio wasomi Wana Raha Sana!
 
Oa mwanamke unaye mpenda na si mwenye fedha. Halafu uwe una hudhulia vikao vya wanaume, kwenye nyumba mume akiwa na laki 3,mke akiwa na milion 1 jumla nyumba ina laki 3.

Hela ya mwanamke sio yako na hela mwanamke always ya uchungu haijawahi kuwa tamu,pambana utafute vyako uoe unayempenda na si mwenye hela.
 
Unaweza ukawa sahihi kwa namna fulani hivi ingawa kwa Sasa naona wanawake wenye elimu kidogo na kipato Cha kati, na waliodanganywa kuwa Ni wazuri (Rangi nyeupe na tako) Ni tatizo kubwa Sana ! Wanaume waliooa wanaweka ambao sio wasomi Wana Raha Sana!
Utateseka sana ukioa hawa wasio na shule labda tu uwe na pesa.
 
Wanawake wengi wanafuata maslahi kwa Mwanaume (pesa, mali).

Ni wachache sana wanaosukumwa na penzi la dhati ya moyo.
Tangu lini mwanamke ameanza kupenda?
Tunajitengezea mtego eti unapendwa.

Kazi ya mwanamke ni kutii na kazi ya mwanaume ni kupenda.

Tangu zamani mwanamke aliolewa na mtu asiyemjua undani wake.
Wazazi wakikubali ndoa tayari.
Hili limefanyika enzi na enzi tangu enzi za akina Ibrahimu.

Mwanamke alifuatwa na wazee kuletwa kwa mwanaume ambaye hawajawahi kuonana.

Soma habari za Isaka mtoto wa Ibrahimu utanielewa.

Wanaume umefika wakati mnatamani mtunzwe na wanawake???
 
Unaweza ukawa sahihi kwa namna fulani hivi ingawa kwa Sasa naona wanawake wenye elimu kidogo na kipato Cha kati, na waliodanganywa kuwa Ni wazuri (Rangi nyeupe na tako) Ni tatizo kubwa Sana ! Wanaume waliooa wanaweka ambao sio wasomi Wana Raha Sana!
Na hao wasiosoma wakishaanza tu kwenda saluni ukutana na mafundi waliochezea ndoa zao lazima wawajaze ujinga.
 
Wote SAwa hakuna nafuu. Aliyeoa msomi ulia bora asiosoma
Asiosoma nae ulia bora msomi.
Keypoint tambua hauishi na malaika.
 
Back
Top Bottom