Wanawake wenye rangi, sura na shepu mbaya ndiyo wanaoongoza kwa kuchakatwa

Binafsi huwa nasikitishwa sana kauli za kuwa mtu anasura mbaya, au mwanamke/mwanaume mbaya ie kimuonekano. I hate such statement. Hakuna mtu mwenye sura mbaya duniani, tunatofautiana kimuonekano ila huwezi sema huyu ni mbaya. Vyote ni vizuri ila tu vingine ni vizuri zaidi.
Wanawake/wanaume wote ni wazuri ila wanatofautiana viwango vya uzuri. Ila hauna myu mbaya kisura ya kibanadamu.
neno sahihi ni less attractive au mvuto hafifu. Si kumuita mtu ni mubaya
 
Sababu kubwa ni 2 tu.

1. Wanaume kwa asili huwa wanamtongoza mwanamke ambaye wanamuona ni mnyonge (ambaye hana sifa zote za uzuri) ili kuwa na uhakika wa kukubalwa. Wanaume huogopa kutongoza pisi kali kwa hofu ya kukataliwa.

Kwahiyo wanaume huwatongoza zaidi hawa wadada wenye sura, nyayo na mwendo wa baba zao. Ndiyo maana ni kawaida kwa dada pisi kali kukosa mume au mpenzi kwa kuwa wanaume wengi wanaogopa kuwatongoza.

2. Wadada sura mbovu huwa hawajiamini na wanaogopa kupoteza bahati.
Wakitongozwa hukubali kirahisi kwa kuwa wanahisi wakikataa wengine hawatakuja. Wajanja wanajipigia na kuwazalisha kisha wanasepa. Huyu bidada anabakia kuwa singo mama.

Huu ni uchunguzi uliofanywa kwa Ustadi mkubwa na Sexless
Pisi kali asilimia kubwa they're too demanding yaani wanaomba hela na hawana matumizi mazuri ya pesa.
 
Sababu kubwa ni 2 tu.

1. Wanaume kwa asili huwa wanamtongoza mwanamke ambaye wanamuona ni mnyonge (ambaye hana sifa zote za uzuri) ili kuwa na uhakika wa kukubalwa. Wanaume huogopa kutongoza pisi kali kwa hofu ya kukataliwa.

Kwahiyo wanaume huwatongoza zaidi hawa wadada wenye sura, nyayo na mwendo wa baba zao. Ndiyo maana ni kawaida kwa dada pisi kali kukosa mume au mpenzi kwa kuwa wanaume wengi wanaogopa kuwatongoza.

2. Wadada sura mbovu huwa hawajiamini na wanaogopa kupoteza bahati.
Wakitongozwa hukubali kirahisi kwa kuwa wanahisi wakikataa wengine hawatakuja. Wajanja wanajipigia na kuwazalisha kisha wanasepa. Huyu bidada anabakia kuwa singo mama.

Huu ni uchunguzi uliofanywa kwa Ustadi mkubwa na Sexless
Pis Kali Wana demand makubwa halafu wengi w wanaringia uzuri wao!

Tunatongoza Dem yeyote ambaye tupo nae karibu lakin swala la mahusiano ni matokeo ridhaa ya nafsi na moyo!

Sisi kutongoza ni tabia,kudumu kwenye mahusiano ni msimamo was mwanamke sio mwanamme!!

Wengi hatupendi tuwe inferior Kwa mwanamke yeyote tukiona jam tunaanzisha mengine na kukuweka dormant zone hata Kama tunaishi pamoja!!
 
Unakuta ni mweusi, mfupi na ana shepu kama gunia la pamba. Lkn hapo hapo ana sura ya babake. Ana manyonyo makubwa kama puto za kucheza watoto. Huyo siyo mbaya??
Mbaya kwa definition ya nani?

Hakuna mtu akawa mbaya kwa watu wote au mzuri kwa watu wote.
 
Weee thubutuuuu, hakuna wanawake magumu wa kukubali show kama wenye sura ngumu

hawa wazuri na wenye matako makubwa ndo walaini wa kukubali upesi sababu washaliwa Toka wakiwa wadogo mpaka washafyonzwa vinyeo na k kwahiyo wameujua utam wa dudu mapema na utam wa pesa za wanaume mapema ndo maana huwa ni vicheche wa kupindukia na ndo maana huwa hawaolewi sababu ya ukicheche wao
Nimecheka kama mazuri
 
Binafsi huwa nasikitishwa sana kauli za kuwa mtu anasura mbaya, au mwanamke/mwanaume mbaya ie kimuonekano. I hate such statement. Hakuna mtu mwenye sura mbaya duniani, tunatofautiana kimuonekano ila huwezi sema huyu ni mbaya. Vyote ni vizuri ila tu vingine ni vizuri zaidi.
Wanawake/wanaume wote ni wazuri ila wanatofautiana viwango vya uzuri. Ila hauna myu mbaya kisura ya kibanadamu.
Fact Mungu hajaumba mtu mbaya
 
Back
Top Bottom