Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Sura nzito
Huko nyuma flatscreen
Mweusi tii
Mfupi kama nyundo
Macho mekundu kama damu
Meno makubwa ka ya punda.
Sauti mbaya Balaa.
Nikicheka utadhani nakomesha wasikilizaji. Huhu
Kuna binti kitambo wakati tunachat alitoa description kama yako kuwa ndo yuko hivyo tena alijikandia zaidi ,mwanaume nkajitoa muhanga tukakutana,nkakuta kitu tafauti kabisa na alivyojielezea,mtoto mkalii.yani kama ndo ingekuwa kamari ni sawa na kumla muhindi milioni 10 kwa mkeka wa jelo,sema tu nligundua hana confidence wala self esteem.
 
Hahahaha

Na hata wadada waliochangia huu Uzi wengi hawako km Uzi unavyosema
 
Hahahaha

Na hata wadada waliochangia huu Uzi wengi hawako km Uzi unavyosema
Kweli kabisa,ila wanawapa kampani wenzao,na kujaribu kupunguza trafic huko pm,pia wanaenjoy kujishusha kuwa humble.Wanawake wasichojua ni kuwa si kila dereva anadata na body,wengine wanapenda engine,wengine rim na tairi,dashboard,shokapu etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…