Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
- #301
Hahaaa sawa baki hukohukoNilikuwa na mpango wa kuja pm ila siji tena ng'oo![emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa sawa baki hukohukoNilikuwa na mpango wa kuja pm ila siji tena ng'oo![emoji2089][emoji2089][emoji2089]
tupiamo kapicha mkuuKaribuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha
Aggy sura ngumu.
unaoa kabisa[emoji83]Nawapendaga sana mademu wenye sura ngumu maana hua wamejaaliwa mizigo ya maana . Kwa kweli mi hua siangalii sura kikubwa chura iwepo natafuna mzima mzima
kabisa kabisaHapa ndio sehemu nitapata mke. Ngoja ni subscribe mapema kabisa.
[emoji36] [emoji36] [emoji36] [emoji36]Huwa naamini kabisa kipimo cha uzuri wa mwanamke sio sura kama dunia ya sasa ilivyozoweshwa.. So kwangu sura tupa kapuni..
Zamani kwenye mashindano ya urembo (ma miss) uzuri ulipimwa kwa kuangalia mguu, ma judgw walijipanga kisha walimbwende wanapita huku wamevalia mavazi mafupi na ma judge wanakagua mguu mzuri.
Ila haya yote ni trends tu za kidunia.. Siku hizi naona kuna shift of trend kwa kasi kutoka kwenye sura kwenda kwenye chura maana mambo ya usodoma yameshika kasi.
Hahahaha,tutathiminisheHalafu ukishaona?
Tunazijua wenyewe.. Kama za akkna anna makinda..Aisee.
Sura ngumu ndo zipoje.
Becky nawe una sura ngumu??? [emoji23]Sikutegemea hii thread ingeenda mbali,this shows wenye sura nzito tumejaa JF
Ewaaa.. Urithi wetu huuTunajivunia na sura za babu na baba zetu[emoji119][emoji119]
Kama yakoAisee.
Sura ngumu ndo zipoje.
Kuna binti kitambo wakati tunachat alitoa description kama yako kuwa ndo yuko hivyo tena alijikandia zaidi ,mwanaume nkajitoa muhanga tukakutana,nkakuta kitu tafauti kabisa na alivyojielezea,mtoto mkalii.yani kama ndo ingekuwa kamari ni sawa na kumla muhindi milioni 10 kwa mkeka wa jelo,sema tu nligundua hana confidence wala self esteem.Sura nzito
Huko nyuma flatscreen
Mweusi tii
Mfupi kama nyundo
Macho mekundu kama damu
Meno makubwa ka ya punda.
Sauti mbaya Balaa.
Nikicheka utadhani nakomesha wasikilizaji. Huhu
HahahahaKuna binti kitambo wakati tunachat alitoa description kama yako kuwa ndo yuko hivyo tena alijikandia zaidi ,mwanaume nkajitoa muhanga tukakutana,nkakuta kitu tafauti kabisa na alivyojielezea,yani kama ndo ingekuwa kamari ni sawa na kumla muhindi milioni 10 kwa mkeka wa jelo,sema tu nligundua hana confidence wala self esteem.
Kweli kabisa,ila wanawapa kampani wenzao,na kujaribu kupunguza trafic huko pm,pia wanaenjoy kujishusha kuwa humble.Wanawake wasichojua ni kuwa si kila dereva anadata na body,wengine wanapenda engine,wengine rim na tairi,dashboard,shokapu etcHahahaha
Na hata wadada waliochangia huu Uzi wengi hawako km Uzi unavyosema
HahahahaKweli kabisa,ila wanawapa kampani wenzao,na kujaribu kupunguza trafic huko pm,pia wanaenjoy kujishusha kuwa humble.Wanawake wasichojua ni kuwa si kila dereva anadata na body,wengine wanapenda engine,wengine rim na tairi,dashboard,shokapu etc