Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Itatuelewa tu me ndo kwanza mdogo sijui hata jina la baba najua la mama tu ndiyo maana namuuliza kaka anguSasa na wewe dada angu unasahau vpi jina la baba yetu jamii haitatuelewa ujue
Nashukuru nimeshaipata dada angu nilijua tu huwezi vumilia kuona nateseka ndio maana nakupendaga tu jamaniBasi njoo chukua kaka angu...me sipendi ukose chai asubuhi ujue
Ahsante kaka angu unywe chai sasaNashukuru nimeshaipata dada angu nilijua tu huwezi vumilia kuona nateseka ndio maana nakupendaga tu jamani
Naona haya mambo ya familia tutayamaliza nyumbani tusiwape watu faida humuItatuelewa tu me ndo kwanza mdogo sijui hata jina la baba najua la mama tu ndiyo maana namuuliza kaka angu
Sawa hamna shida haitakiwi kuwatangazia SaanaNaona haya mambo ya familia tutayamaliza nyumbani tusiwape watu faida humu
Hahahahahah mkombozi ni elimuKuna mwalimu wetu fulani sangu high scul mbeya alikua anawambia wadada wenye sura mbaya kazaneni sana kusoma bila hvo mtapata taaabu sana mbeleni mkombozi wenu pekee ni elimu wadada walimchukia sana yule mshua alivokua anawachana facts
unamfikia huyu?Mimi najikubali na sura yng nzito km futari ya magimbi,bila shaka nitakuwa nimefanana na baba angu
Najiona mimi after 30 yrs[emoji1787]unamfikia huyu?
View attachment 951047
We toto laini laini..Umefwata nn huku?
Teh teh..Kwani umewahi kuacha kuhangaika ww??..Unaweza kupotea mwaka usionekane..Nishazoea..Mi talaka uwa sitoi labda ujiandikie mwenyeweTeh my husband hivi umenipa talaka au namna gani manake mimi sielewi hebu niambie ili nianze kuhangaika na mimi
Hakuna mzazi anayeonaga mwanaye mbayaTeh teh..Ungekuwa mbaya kweli ningeshukuru..
Majority ya wanawake hasa warembo wanategemea fedha za kuhongwa kutoka kwa wanaume. Ila hawa wenye sura chachu inabidi wapambane tu kama sisi wanaume hamna namna...🤣🤣😀Eti kwani warembo peke yao ndo huwa wanahongwa mkuu?
Na hili lundo la wanaume wanaokuja kutoa posa hawajauona huo ugumu??..Mana imebidi hadi nifungue file..POSA ZA HEAVEN SENT..File la tatu nowHakuna mzazi anayeonaga mwanaye mbaya
Teh teh teh teh teh teh tehMajority ya wanawake hasa warembo wanategemea fedha za kuhongwa kutoka kwa wanaume. Ila hawa wenye sura chachu inabidi wapambane tu kama sisi wanaume hamna namna...[emoji1787][emoji1787][emoji3]
Huyo mwanamke yupo kweli..??
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nimecheka sanaHahahahahahahaha me sina sura laini eti ndo maana nkaja kwenye huu uzi
Hahahahahahahaha .me sijui kama n nzito au laini mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] nimecheka sana
Kumbe na ww unasura nzito
We love you uglies don't get it twisted, hatujawatenga and the good thing is you got the sweetest pusiz in the entire planet!Aisee we deserve to be treated better jamani. Don't take us for granted oooooh