Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Kuna mwalimu wetu fulani sangu high scul mbeya alikua anawambia wadada wenye sura mbaya kazaneni sana kusoma bila hvo mtapata taaabu sana mbeleni mkombozi wenu pekee ni elimu wadada walimchukia sana yule mshua alivokua anawachana facts
Hahahahahah mkombozi ni elimu
 
Mimi najikubali na sura yng nzito km futari ya magimbi,bila shaka nitakuwa nimefanana na baba angu
unamfikia huyu?
hahard.jpg
 
Back
Top Bottom