Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Mimi hua ni mgumu sana kutoa hela afu demu sura ya babaake, wenye sura zenu zito mkuje nitajirike maana nlienae akiniomba hela huku ananiangalia nikifikilia na tamu anayonipa mwanaume sina ujanja nafuja hela.
 
Jamaa yangu mmoja tulikuwa tunapenda kutaniani, sura nzito tunaita Mipira ya kona au mipira iliyo kufa.(Mzaha na utani si mambo mazuri sana)

Jamaa namba mbili Yeye anakwambia hawezi fia kwa sura nzito/Ngumu ni heri akutwe na bwana Pepsi kwa Sura mvuto mithili ya Priyanka Chopra.

Nakwakweli Jamaa huwa anapata mabinti Wakali Wakali Wengine hata wakumtolea mbavuni yeye fresh tu ilimradi ni sura mvuto haichomi moyo.

Niliwahi kumtongoza bibie mwenye sura nzito penzi likachipua likamea ,likaota mizizi huku akinikaribisha katika kitanda chake alichotia shuka la mistari la kimsiri,Manemane,udi na mdalasini na tukaburudishana nafsi zetu kwa mahaba mazito.
Hakika Wanafiki tuliwaacha Midomo wazi kama wameshikwa ugoni kwa penzi letu la dhati.

Tulipoteana baada ya mizunguko na mihangaiko ya dunia,Maisha ni Safari na Sisi tuwasafiri.

Ubaguzi kwangu Mwiko Ubaguzi wa rangi Ndio kwanza napeleka kwenye ufuaji wa Nguo.

Utu Kwanza.Mengineyo yafuatie.
 
hizo sura ngumu kusemaje hazidomasiki au?
na hizo sura nzito zina kilo ngapi?

ila bahati mlionayo nyie wanawake wenye sura ngumu ni kutongozwa sana na kuwekwa ndani kama wake....na tunafanya hivyo sisi wanaume kwa kuwa hatutaki kuchapiwa si mna sura ngumu....maana ukioa mzuri basi ni baraha.......sometime kuzaliwa mzuri ni baraha
 
mkuu kwa hiyo ukikuta mwanamke anasura kama ya mizengo kayanza peter pinda we unaoa tu huna shida...aise mimi siwezi sasa zikizima taa usiku chumbani si utamkimbia
 
Karibuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha


Aggy sura ngumu.
Daaaa sijui ulikuwa wapi? Yaani we ndio mke wangu kabisa.my baby,mi nataka sura mbuzi makalio flat screen, sipendi kushare nataka uwe wa pekeyangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…