Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Mpwa subiri kama dk 20 nikufanyie mamboDadeq mpwa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpwa subiri kama dk 20 nikufanyie mamboDadeq mpwa!!
Basi naja huko PeraMiho nikusambazie kichekoKule panaitwa PeraMiho
Cc: mpwa Mwifwa ndio kanifundisha kusema hili neno
Dah!!!Mpwa subiri kama dk 20 nikufanyie mambo
Njoo unipe upendoBasi naja huko PeraMiho nikusambazie kicheko
Mambo matamu hayataki harakaDah!!!
ukweli[emoji23]Sema ukweli
ukweli[emoji23]
Karibu tena...[emoji41]Haya asante
mkuu kwa hiyo ukikuta mwanamke anasura kama ya mizengo kayanza peter pinda we unaoa tu huna shida...aise mimi siwezi sasa zikizima taa usiku chumbani si utamkimbiaHuwa naamini kabisa kipimo cha uzuri wa mwanamke sio sura kama dunia ya sasa ilivyozoweshwa.. So kwangu sura tupa kapuni..
Zamani kwenye mashindano ya urembo (ma miss) uzuri ulipimwa kwa kuangalia mguu, ma judgw walijipanga kisha walimbwende wanapita huku wamevalia mavazi mafupi na ma judge wanakagua mguu mzuri.
Ila haya yote ni trends tu za kidunia.. Siku hizi naona kuna shift of trend kwa kasi kutoka kwenye sura kwenda kwenye chura maana mambo ya usodoma yameshika kasi.
Wifii umewahi kujionja?Mie mtamu balaa
hujaweza nije kukuvusha??Haha...ngoja nijaribu
hujaweza nije kukuvusha??
MmmhNiko hapa mwenye sura ngumu kama nimelamba ndimu
My wii....kaka ako alikuwa ananitafuna mpaka mifupa huku ananisifia mie mtamu....nina mifupa lainiWifii umewahi kujionja?
Daaaa sijui ulikuwa wapi? Yaani we ndio mke wangu kabisa.my baby,mi nataka sura mbuzi makalio flat screen, sipendi kushare nataka uwe wa pekeyangu.Karibuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha
Aggy sura ngumu.
Alikuwa? Na sasa hivi je?My wii....kaka ako alikuwa ananitafuna mpaka mifupa huku ananisifia mie mtamu....nina mifupa laini
Kama kawaida.Alikuwa? Na sasa hivi je?