Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanafki hamkosekani
Halafu mkifika huko ohh demu ana sura ngumu ka jiwe..
Hata wadada wenyewe tuo hivo
Hahah nnacho ikubali JF ni kwamba sie ma Men wote hapa tutajifanya tunawakubali kichiz hawa wenye sura za baba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…