Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
- #181
Hahaa wapuuzi sana nyie
Akuu sitaki kuachwa mie..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akuu sitaki kuachwa mie..!
cc naibu spika na spika mstaafu
Kwanini tena tu wapuuzi...??Hahaa wapuuzi sana nyie
Aiseeecc naibu spika na spika mstaafu
Leo katiririka ya moyoni[emoji1]Leo umeandika kirefu
Kweli umemaanisha
Endeleeni kuwapa moyoWala usiwaze mamalai, huwezi kukosa mume. Watu wana tastes tofauti tofauti. Sio kila mwanaume anavutiwa na sura.. Wanaovutiwa na sura na chura mara nyingi ni tamaa tu na huwa hawafiki mbali. Upendo wa kweli ndio deal hata ukiwa na jicho moja.
usiombe uwe na sura ya kazi/sura ya dingi alafu hapohapo unaroho mbaya,ni janga la taifa.Abeee
nitumie avatar yako tafadhali
Hahaaausiombe uwe na sura ya kazi/sura ya dingi alafu hapohapo unaroho mbaya,ni janga la taifa.
Sisi tulio kuwa na sura nzito na ndevu tuna comment wapi?
Hahha kama uji wa mtamaHeaven Sent tunaitwa huku mama, au wewe sura yako nyepesi?
Hahahaaa lolDemu unakuwaje na sura ka Magufuli bhana?
Demu unakuwaje na sura ka Magufuli bhana?
Changamoto tunazo kutana nazo ni kukimbiwa na Kuja kuanzishiwa Nyuzi/Mada JamiiForums 😢😢😢😢Hapahapa
HahahahaChangamoto tunazo kutana nazo ni kukimbiwa na Kuja kuanzishiwa Nyuzi/Mada JamiiForums [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Usicheke ni majonziiiHahahaha
Vizuriiiii sanaSafiii tu mwanamke unyenyekevu. Kwanza wanaojidaigi warembo wasumbufu sana.