Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,659
- Thread starter
- #281
Mna sura lainiKwa nini eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mna sura lainiKwa nini eti
Kweli love..Nina flat moja matata mixer minyama uzembe yani kama yule michellinHaaa kweii???
Kweli love..Nina flat moja matata mixer minyama uzembe yani kama yule michellin
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tusije Zima mitambo kwa sura zetu ngumu hahahaHahah hapana.. Jf na mitambo yake yote mpaka server zitasimama mshituko
Ndio ivyo..usinicheke tufarijiane tu uenda nasisi tukakumbukwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani jamaniWatakuwa wanyakyusa hao
Hahahahahahahaha me sina sura laini eti ndo maana nkaja kwenye huu uziMna sura laini
Kidogo ni ku tag[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tusije Zima mitambo kwa sura zetu ngumu hahaha
Wanyakyusya na sura zenu[emoji3][emoji3][emoji3]Mfyuuuuuu
Nilikuwa na mpango wa kuja pm ila siji tena ng'oo![emoji2089][emoji2089][emoji2089]Karibuni tuliwazane.. Tujadili changamoto na faida tunazopitia katika maisha ya kawaida, mahusiano nk..
Visa visa na vituko tunavyokumbana navyo etc
Nawasilisha
Aggy sura ngumu.
Yaani sijasubiri kutagiwa,,mekuja mwenyewe..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kidogo ni ku tag
Kumbe ushajitokeza hayaaa...[emoji3]
Kuna mtu alikufungulia Uzi anapenda hiyo shape kwenye avatar yakoKweli love..Nina flat moja matata mixer minyama uzembe yani kama yule michellin
NDio maana hamringi sana.Soko letu lipo chini... Sawa bana
Yeah demand yao ni ndogo sana ndio maana. Ukimpata mmoja mkapendana maisha yanaenda vizuri sanaBiashara ni supply and demand
Asante ya nini bibie?Asanteeeee
Hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]tusije Zima mitambo kwa sura zetu ngumu hahaha
HahahahaKuna mtu alikufungulia Uzi anapenda hiyo shape kwenye avatar yako
Ndio ivyo..usinicheke tufarijiane tu uenda nasisi tukakumbukwa
Hahahahahahahaha me sina sura laini eti ndo maana nkaja kwenye huu uzi
Hahahaha
Hebu na wewe weka shape yako ktk avatar tuone