Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Wanawake wenye sura nzito/ngumu tukutane hapa

Ila tuwapongeze sana hawa wanawake wa sampuli hizi, maana ndiyo wanaongoza kutunza familia zao bila migogoro, kwanza ni wapambanaji sana na wanjua kubembeleza sana, na wengi wao 90% wanaolewa
Ahsante kwa pongezi
 
Laini hiyoo

Na hii?

1543574368656.png
 
Kuna binti kitambo wakati tunachat alitoa description kama yako kuwa ndo yuko hivyo tena alijikandia zaidi ,mwanaume nkajitoa muhanga tukakutana,nkakuta kitu tafauti kabisa na alivyojielezea,yani kama ndo ingekuwa kamari ni sawa na kumla muhindi milioni 10 kwa mkeka wa jelo,sema tu nligundua hana confidence wala self esteem.



Hahaha.
 
Back
Top Bottom