bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
We ndio umesema ukwel sasa oa Mkurya mpeleke kizaramo au kinyume chake ufurahie showMikoa ipi mkuu , kila kabila Tz lime mshape mwanamke kulingana na mahitaji yao , shida ilianza tulipo oana kabila moja kwa jingne ,tukaanza kuona hizo tofauti , mfano kwa wachaga hakuna hisia bila kuwa na pesa , apo ukijichanganya lazima uumie .