bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
We ndio umesema ukwel sasa oa Mkurya mpeleke kizaramo au kinyume chake ufurahie showMikoa ipi mkuu , kila kabila Tz lime mshape mwanamke kulingana na mahitaji yao , shida ilianza tulipo oana kabila moja kwa jingne ,tukaanza kuona hizo tofauti , mfano kwa wachaga hakuna hisia bila kuwa na pesa , apo ukijichanganya lazima uumie .
Aah wapi,don't try this at home for your own riskKuna mahali hujamgusa vizuri mkuu mbona wanalegeaga tu Hao chaap.....tumia uanaume wako vizuri mkuu
Ngumu kumeza ni wapambanaji na Sio romanticWe endelea kumtuhumu huyo mlimbwende kwa kuangalia ukanda/ukabila lkn hao ndo watu wa maisha kama hujui!
Sure[emoji120]We ndio umesema ukwel sasa oa Mkurya mpeleke kizaramo au kinyume chake ufurahie show
funguka bana mbona unagusia kidogoKuna mahali hujamgusa vizuri mkuu mbona wanalegeaga tu Hao chaap.....tumia uanaume wako vizuri mkuu
Ngumu kutofautisha hadi ukifuliaWapesa hao sio wanawake ni makahaba. Mwanamke anaempenda mme wake huwa hamsumbui
Bora angekuwa mpole kumbe ana kelele tena😀Kuna dada mjeda ana sura nzito km tope alafu ngozi imeshuka km kamwagiwa uji uliopoa uwe unashuka sasa slowly…… namuwazaga sijui ndani inakuwaje na mumewe?!!
Muda wote mkali km pilipili, wanaume nawapongeza kwa kutuoa na mapungufu yetu aiseee na ile rangi ilivyo nyeusi tiii km usiku wa balaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu ni mzuri Sana anakuepusha na harufu za mapanya waliokufa shimoni. 😄😄😄😄😄😄😄😄😄Anaefanya hivo ni mzuri au mbaya? 😀
Bora angekuwa mpole kumbe ana kelele tena[emoji3]