Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

kwanini zinawachoma?
Ukijiona unarudiarudia yale yale, basi ujuwe unaishiawa hoja.... Hakuna aliyechomwa na moto unaousema... Kilichonishangaza ni wewe eti unaomba jicho.... Ukilinganisha maombi hayo na sala ndeeefffuuuu uliyoipost kule vinakinzana...
 
kama unafikiri hayo mashudu unayoongea yananiuma basi unapoteza mda wako Bure

hayaniumizi sana sana nakudharau tu
Dharau ni sehemu ya hulka ya viumbe hai, si binadamu pekee... Hata mbwa kuna wakati ana dharau...
 
sasa unafikiri mimi mwenyewe ningekuwa sijakudharau na kukuona choko ningekuwa nakujibu haya mashudu?
kama unafikiri hayo mashudu unayoongea yananiuma basi unapoteza mda wako Bure

hayaniumizi sana sana nakudharau tu
 
mie mwanaume jamani

cc: Dinazarde Evelyn Salt Excel

hahaa! mkuu DEMBA kakukoseaje jinsia bana? haoni hiyo six na midevu hiyo?

actually, JF inazidi kunijenga kila siku...

nilikuwa field kama saa moja na nusu hivi nje, nimekutana na dada mmoja hivi wakati napata chakula, actually alikuwa na tatizo hili la kitambi bana.. basi nimekumbuka hii thread..

sister nimeongea nae kiujanja sana, mpaka tumefikia hatua ya kuongelea tatizo lake la kuwa na kakitambi hako! nimemshauri vitu vingi sana, you cant imagine alivyofurahi kupata ushauri kutoka kwa stranger..!

actually, nimepata rafiki mpya! she is beautiful, she gave me her number..
 
Last edited by a moderator:
Yaani madada ya siku hizi sijui yakoje!...yanakeraaaa!!..hadi kichechefu!!..

Unakuta dada mzuri ajabu!..shepu shepu, nyuma ana kifurushi cha haja mweh!!...kuja mbele sasa..chevuuuu!!!..mtumbo huo!...uzuri wote chalii!

Tatizo siku hizi mumezidi kuwa waroho!!..mnakula sana kuliko hata midume!..machips mayai, manyama choma, ma bia, ma baga, sijui manini yote yenu! Sasa kwa staili hiyo kwanini msitoke vitambi!

Yaani unakuta mwanaume na mwanamke wanapita hata hujui me ni nani na ke ni nani!..kwani mki maintain shape kuna ubaya gani!..

We huoni watoto kama jokate mwegelo wanavyo pendeza hadi raha!!...sio kama shilole hadi anaogopesha na ule mtumbo!!...au mfano mzuri mdada Lara1 ni bonge la mtoto!..yupo flat sehem za flat na ameumuka sehemu zinazohitajika!
Ni ushauri tu wadada!

dr.holygrail

mimba apate mwanamke, udongo uutafune mwanaume!!!!
beauty is in the eyes of the beholder
 
hahaa! mkuu DEMBA kakukoseaje jinsia bana? haoni hiyo six na midevu hiyo?

actually, JF inazidi kunijenga kila siku...

nilikuwa field kama saa moja na nusu hivi nje, nimekutana na dada mmoja hivi wakati napata chakula, actually alikuwa na tatizo hili la kitambi bana.. basi nimekumbuka hii thread..

sister nimeongea nae kiujanja sana, mpaka tumefikia hatua ya kuongelea tatizo lake la kuwa na kakitambi hako! nimemshauri vitu vingi sana, you cant imagine alivyofurahi kupata ushauri kutoka kwa stranger..!

actually, nimepata rafiki mpya! she is beautiful, she gave me her number..

not a killer number, I hope
 
kumbe we hunijui vema.

Name: Holygrail
o level: songea boys
div.olev: div 1 ptns 10
a level: kibaha sec
comb: pcb
div.alv: div 1 pnts 4
college: muhimbili
faculty: medicine
experience: 12 yrs

haya semeni sasa na mavitambi yenyu!!

Kumbe ni wa box 2.. Mwaka gani?! Nadeclare interest naomba nisichangie huu uzi.
 
hahaa! mkuu DEMBA kakukoseaje jinsia bana? haoni hiyo six na midevu hiyo?

actually, JF inazidi kunijenga kila siku...

nilikuwa field kama saa moja na nusu hivi nje, nimekutana na dada mmoja hivi wakati napata chakula, actually alikuwa na tatizo hili la kitambi bana.. basi nimekumbuka hii thread..

sister nimeongea nae kiujanja sana, mpaka tumefikia hatua ya kuongelea tatizo lake la kuwa na kakitambi hako! nimemshauri vitu vingi sana, you cant imagine alivyofurahi kupata ushauri kutoka kwa stranger..!

actually, nimepata rafiki mpya! she is beautiful, she gave me her number..

@excel naona kama unataka ukamata fursa vilee
 
@excel naona kama unataka ukamata fursa vilee

hahahaaa!! demba nakwambia hadi raha.. nimeongea kama the boss vile!

hakuna mzaha kudadeki!

ushawahi kusikia eye contact? yani unamwangalia binti jichoni bila kukwepa..! mbona nimependwa leo!
 
not a killer number, I hope

noo! come on dont think that!

leo ndo nimejijengea confidence.. duh!

pamoja na kuwa soo pretty, mtoto wa watu kawa mdooogo kwangu!

kaomba next time nikutane nae for further announcements!!!
 
hahaa! mkuu DEMBA kakukoseaje jinsia bana? haoni hiyo six na midevu hiyo? actually, JF inazidi kunijenga kila siku... nilikuwa field kama saa moja na nusu hivi nje, nimekutana na dada mmoja hivi wakati napata chakula, actually alikuwa na tatizo hili la kitambi bana.. basi nimekumbuka hii thread.. sister nimeongea nae kiujanja sana, mpaka tumefikia hatua ya kuongelea tatizo lake la kuwa na kakitambi hako! nimemshauri vitu vingi sana, you cant imagine alivyofurahi kupata ushauri kutoka kwa stranger..! actually, nimepata rafiki mpya! she is beautiful, she gave me her number..
jirani siri kwangu mzigo naenda kusema!tena bila hata kuulizwa!
 
Last edited by a moderator:
mh!...ama kweli nimegundue kumbe vitambi ni disasater ya nchi maana watu walivyo react!...sina hamu!

Tatizo lugha uliyotumia,lakini pia sidhani kama umeuelimisha ukoo wako wote kuhusu vitambi vyao jinsi yakuvipunguza,ndo uje kwetu sisi na wengi wetu tumepata vitambi hivi baada yakuzaa
 
noo! come on dont think that!

leo ndo nimejijengea confidence.. duh!

pamoja na kuwa soo pretty, mtoto wa watu kawa mdooogo kwangu!

kaomba next time nikutane nae for further announcements!!!
Be an F.O.C temporal doctor for her. who knows...she might become your permanent concubine
 
jirani siri kwangu mzigo naenda kusema!tena bila hata kuulizwa!

kaseme! mi mwanasheria bana!

natembea na ushahidi kila sehemu!

yakikukuta, nakufunga kuanzia wewe, mumeo Window7, nyumba yenu, mifugo yote mnayofuga, ndugu zenu woote mpaka waliokuwepo wakati unatoa umbea huo!!

haya, chap chap kaseme!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom